Njoo PM niku Assist

Naona mods wamefuta nyuzi zote zinazomtuhumu tapeli Raimundo,vizuri.

Sasa endapo uzi wowote wa kumsafisha huyo bwana ukianzishwa na kuachwa hewani JF wajiandae kujibu hoja nzito,na haitokuwa tena kuhusu Raimundo bali JF yenyewe.
hahahaha wamezifunga nafikiri wameona jamaa kaingia mitini walitegemea ajitokeze kujibu..
Nilijua lazima wazifunge
 
hahahaha wamezifunga nafikiri wameona jamaa kaingia mitini walitegemea ajitokeze kujibu..
Nilijua lazima wazifunge
Ila akirudi na utetezi wake itabidi Mods wazirudishe zile nyuzi.
Haiwezekani iwe kesi ya kusikiliza upande wa utetezi pekee.
 
Ila akirudi na utetezi wake itabidi Mods wazirudishe zile nyuzi.
Haiwezekani iwe kesi ya kusikiliza upande wa utetezi pekee.

Akirudi wapi shoga??
Mbona yupo anatoa like tu au kwenu hawajapitia?
 
Akirudi wapi shoga??
Mbona yupo anatoa like tu au kwenu hawajapitia?
Atupitie wapi shogangu na sisi maadui zake?

Hujajua mpango wao? Wamepanga waache huu upepo upite aje na utetezi kama Kevin Isaya.
Utaniambia mimi.
 
Atupitie wapi shogangu na sisi maadui zake?

Hujajua mpango wao? Wamepanga waache huu upepo upite aje na utetezi kama Kevin Isaya.
Utaniambia mimi.

mmmh lakini hata aje na style gani assist ndio basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…