Njoo PM niku Assist

mmmh lakini hata aje na style gani assist ndio basi tena
Atahamia kwa Gwajima atajidai alikuwa dini ya wasiokula mdudu sasa ameokoka ndugu wamemtenga hana pa kula wala pa kulala duka lake lenye mali ya million 65 Kariakoo nalo limechomwa moto na majini
 
Atahamia kwa Gwajima atajidai alikuwa dini ya wasiokula mdudu sasa ameokoka ndugu wamemtenga hana pa kula wala pa kulala duka lake lenye mali ya million 65 Kariakoo nalo limechomwa moto na majini


Ha ha ha a a
 
Ila akirudi na utetezi wake itabidi Mods wazirudishe zile nyuzi.
Haiwezekani iwe kesi ya kusikiliza upande wa utetezi pekee.
Hakuna siku nimepandwa na hasira kama ile siku wamefunga nyuzi zile halafu wana ruhusu ya yule tapeli ajiteteee baada ya kukaa kimya muda mrefu.....
Trust me Ray atarudi baada ya mwezi kujitetea na atasema kuna mtu alihack account yake akawa anaomba assist nayeye alipokuwa hakuwa na access ya mtandao hivyo amestushwa sana na hizo taarifa za yeye kuwa tapeli na anaomba radhi kwa yaliyotokea.....watu wataingia mkenge kama ambavyo wameingia mkenge kwa kelvin Isaya
 
Mi mazoea ya kitoto hayo siwezi kukaribisha ndio maana mpaka leo sijawahi kutapeliwa kwanza wataanzaje ? Alafu tumefundishwa kutokuamini mtu yeyote katika mazingira yoyote. Be careful .
 
Hahaha Ruta bana...sasa kwa nini unampa ideas?

Oh well....labda anapewa pointers na Mange😀

Na atakapoamua kurudi atarudi with a bang.

Ila nahisi yupo tu humu na anasoma na kuchangia kwa ID mbadala.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Atakayetapeliwa sasa sijui tutamuweka kundi gani!
Nakosa hata jina la kumpa!
Jamaa kananiambia anatoka Oslo to Dar nimuongeze hela ili tukutane Amsterdam tuunge Bongo ! Kisa ameona nachangia thread from Stockholm asee nilimuambia hapana mkuu sifanyi hivyo ! Watu humu unaweza kuta wale mahooligans wa kibiti wapo humu. Be careful with jf
 
Mi mazoea ya kitoto hayo siwezi kukaribisha ndio maana mpaka leo sijawahi kutapeliwa kwanza wataanzaje ? Alafu tumefundishwa kutokuamini mtu yeyote katika mazingira yoyote. Be careful .

Kuhusu kuamini mtu....wakati mwingine hata mimi mwenyewe huwa sijiamini....just kidding.

On a serious note, kwa asili mimi huwa ni mgumu sana wa kuamini watu kirahisi rahisi.

Hadi nimwamini mtu lazima ni cross the Ts and dot the Is.

Hivi hivi tu....nehi nehi.

Na hiyo hunisaidia sana kwenye mambo mengi ikiwemo kutapeliwa na kutunza faragha yangu.
 
Habari ndio hiyo, nina fungu kutoka kwa nchi hisani kwa ajili ya kuwa assist wana JF ambao mishahara haijatoka na wanahitaji 20k to 30k.
Karibuni sana
[emoji30] [emoji31] [emoji30] [emoji30] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuuuuh aiseee huyu jamaa kiboko.
Hakuna aliyemuacha salama humu? [emoji86]
 
Huyu tapeli wa assist akirudi lazima tulale nae mbele kwa mbele.
Hakuna upepo utakaopita na hakuna uongo atakaokuja nao tumuamini.
Salama yake akiri na kuomba samahani basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…