Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #101
Atahamia kwa Gwajima atajidai alikuwa dini ya wasiokula mdudu sasa ameokoka ndugu wamemtenga hana pa kula wala pa kulala duka lake lenye mali ya million 65 Kariakoo nalo limechomwa moto na majinimmmh lakini hata aje na style gani assist ndio basi tena