Njoo PM niku Assist

Njoo PM niku Assist

Mtamkondesha kijana wa watu huko alipo na ataichukia Jf..
Muacheni Apumue sasa yalishapita.

Ila bujibuji naomba uni ASSIST 30k..
Raimundonization haijawahi kumu Acha mtu salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Daaahh nimecheka sana... Eti Raimundonaization hahahahaha


Bujibuji naomba assist mkuu... Nakuja PM
 
Back
Top Bottom