Point less
Senior Member
- Jun 24, 2020
- 194
- 98
Si ana nyoosha miguu?[emoji854][emoji6][emoji1787][emoji1787]Eti kwanini kuku ana vuka barabara? π π
Hahaha aa no haha π πSi ana nyoosha miguu?[emoji854][emoji6][emoji1787][emoji1787]
Ee kwa miguu ila kwanin? πKwa miguu.
Yupo koteee koteee π
Pesa aina kitu inaweza nunua kitabu lakini sio akili,itanunua nguo lakin sio urembo,itanunua sex but not love,itanunua house but not homeKwa jinsi pesa inavyoniumiza ubongo inatosha
Soka ni biashara kubwa sana lakini haipo katika wizara ya biashara na uchumi...neno jumuishi la soka tunaweza kusema ni mmojawapo wa michezo kwahiyo kwa kuwa kuna wizara inayotaja neno hilo yaani wizara ya michezo, sanaa na utamaduni. Nikitumia mantiki niliyoitumia hapo juu bila shaka punda ni mnyama hivyo wizara yake itakuwa inayohusika na wanyama.
Kuanzia siku hiyo nitaacha bangi..πHivi itakuaje siku unataka kutoka nje unakuta nje hakupo unaamua kubaki ndani unakuta ndani napo pametoweka ,what you gon do?
Ndio uhai ni pumzi au nnJe, tunaweza ishi bila pesa?
Me staki kuumiza ubongo wangu bora tu nile kona kama ndo ivi.
Me staki kuumiza ubongo wangu bora tu nile kona kama ndo ivi.
Kuchangamsha ubongoMe staki kuumiza ubongo wangu bora tu nile kona kama ndo ivi.