Njoo tu umize bongo ze(brain storm here) ^_^

Njoo tu umize bongo ze(brain storm here) ^_^

Point less

Senior Member
Joined
Jun 24, 2020
Posts
194
Reaction score
98
This a thread for making you storm and disturb your brain.
Come storm your brain and make other storm it also .

🙂 🙂 🙂 🙂 ^_^ 🙂 🙂 🙂 🙂
WELCOM
 
Eti kwanini kuku ana vuka barabara? 🙂 🙂
 
Hivi itakuaje siku unataka kutoka nje unakuta nje hakupo unaamua kubaki ndani unakuta ndani napo pametoweka ,what you gon do?
 
Kwa jinsi pesa inavyoniumiza ubongo inatosha
Pesa aina kitu inaweza nunua kitabu lakini sio akili,itanunua nguo lakin sio urembo,itanunua sex but not love,itanunua house but not home
 
Soka ni biashara kubwa sana lakini haipo katika wizara ya biashara na uchumi...neno jumuishi la soka tunaweza kusema ni mmojawapo wa michezo kwahiyo kwa kuwa kuna wizara inayotaja neno hilo yaani wizara ya michezo, sanaa na utamaduni. Nikitumia mantiki niliyoitumia hapo juu bila shaka punda ni mnyama hivyo wizara yake itakuwa inayohusika na wanyama.

Teh teh teh

Kuna mtu anakuja kusema binadam ni mnyama kwahiyo yupo kwenye wizara ya wanyama na Maliasili.

Niko tayari kusahihishwa.
 
Discuss how the field of experiences can affect the communication
 
Back
Top Bottom