Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

upande wa yahaya huseni au Mzimuni
maana tupo tuna wafuatilia tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unanifatilia unataka kunikamata?, Mzimuni sio Mikumi bwana ile ni Mapipa, Mikumi inaanzia kwenye barabara ile ya Kigogo kuelekea shule ya Karume mpaka yale maeneo ya Sheikh Yahaya japo yeye alikuwa yupo Mwembechai/Kagera
Mimi kile kipande cha nyuma ya Usalama, Mikumi Hospital
 
Usalama wa taifa kumbe mna mbnu kal hivi za kunyaka watu wenu ee

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…