Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Ha haa Kiatu angekuwa member ungepigwa ban ww. Una bahati siyo member. Huyu ibinzamata siyo kwao,alienda pale kusoma kwa kaka yake mjeshi mmoja hv. Nimesoma nae pale buhangija o-level. Yule amezaliwa na kukulia mpera.



Sent using Jamii Forums mobile app



ndugu yangu kama hutajali nisaidie namba yake! hv yupo wapi! hahaha nikuambia habar za robert aiseee hutaamini !hebu nipe namba nimkumbushe vtu vya miaka 17 nyuma
 
ndugu yangu kama hutajali nisaidie namba yake! hv yupo wapi! hahaha nikuambia habar za robert aiseee hutaamini !hebu nipe namba nimkumbushe vtu vya miaka 17 nyuma
Yupo dar miaka dahari. Mtafute nimekuwekea number pm. Kumbe na ww ni mhenga!? Ila kuna dem mmoja nilikuwa nampenda sana,huwa namtafuta sana. Ngoja nikutumie jina lake pm unaweza kujua alipo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kuna mdau ameniambia kwamba hayo sio majina ya ukweli

Majina yapi mkuu
Nyarugusu na Nyaruyeye hivyo ni vijiji ambavyo vipo majirani na vipo Geita
Hizo sehem zina asili ya uchimbaji wa dhahabu
Hukohuko nyarugusu kuna vijiji jirani kama nyakagwe bukoli yote hio imepita mkanda wa dhahab
 
Usalama wa taifa kumbe mna mbnu kal hivi za kunyaka watu wenu ee

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone

MBONA HUJIAMINI MKUU AU WEWE NI MHALIFU???
Yaani HAPO UNAJIONA UMEJIFIIIICHA EENH!!!![emoji3]
Huu uzi mimi binafc tu nimikutana na wakuu wenzangu humu ambapo hata sikutegemea kabxa na nimifurahi saana kwa hilo
Siku hizi dunia ipo ktk kiganja cha mkono Mkuu
WAKUJIFICHA FICHA HUYO NI ANAKASORO[emoji1321]
Pambana na Hali Yako
 
Back
Top Bottom