Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Kagongwa mbele kaliwa nyuma, ao kaliwa mbele Kagongwa nyuma inategemea unatokea wapi

-mikononyuma-
 
Unanifatilia unataka kunikamata?, Mzimuni sio Mikumi bwana ile ni Mapipa, Mikumi inaanzia kwenye barabara ile ya Kigogo kuelekea shule ya Karume mpaka yale maeneo ya Sheikh Yahaya japo yeye alikuwa yupo Mwembechai/Kagera
Mimi kile kipande cha nyuma ya Usalama, Mikumi Hospital
nataka tukakupime mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom