Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Sukamahela wilaya ya Manyoni, ukimaliza tu mlima wa Saranda, pale kilipo kitovu cha nchi ya Tanzania na kambi ya kuhifadhi wazee wasiojiweza na wenye ukoma

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
hukohuko shy mkuu

Safi sana mkuu wangu, nilipotoka kijijini lowa nilikuja kwa brother pande za ngokolo, siku ya kwanza nikatoka kwenda kutembea, acha nipotee aiseeeeee, baada yakuanza form one, brother akaniambia kila likizo niwe naenda shinyanga na sio kijijini tena, maana ukienda bush uko zako form six unasubilia matokea ukiwa porini unachunga ng'ombe
 
8a41ba6d70d975e4026f3540067e4859.jpg

Sanga mwalugesha,sanga itinje,Mwandu ikigijo,songambele,Iponanabholo-Mwandoya,igobe,Mwajisandu,Tindabuligi,longaloniga,mwakaluba,Mwaukoli,mwabuma,kisesa,Ipililo,Ikungulyankoma,Mwamitumai,SenaniNguliguli,mwabayanda,Zebeya,Mwang'olo,somanda,kidaganda,Nyamalapa,Zanzui,Budalabujiga,Gambasingu,Gamboshi,Nguliati,Mahembe....mkoo unauma kuendelea...ntaendelea baadae
 
Mwamanoni,Mwamatiga,mwamanongu,mwamalasa,Masanga,mwamashele,mwamadulu,Ngofila...Shagihilu,Idisa....Lalago,sulu,bushtala,kizungu,mwabomba mwabaratulu,isanga njia panda,Itobanilo muhida,jihu,seke ididi,Kadoto,sayusayu,Dodoma,buyubi,Mwabagalu....kwa leo inatosha...
 
Back
Top Bottom