Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,718
- 15,347
Huko sio kwetuHahahahahahha mbona hujataja Sherui, Ulemo, Kyengege, na Makunda kwa mheshimiwa sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko sio kwetuHahahahahahha mbona hujataja Sherui, Ulemo, Kyengege, na Makunda kwa mheshimiwa sana?
Wewe kwenu Mwamanyili?Masanza kona bila shaka jirani na Mwamanyili
Nilikuwa napita sana mitaa hiyo kuelekea Nasa maeneo ya Nyashimo, Nyakaboja mpaka Lamadi na Mkula
We unashangaa kutotamkika tuu, kuna vingine havionekani kabisa mkuu (Mbingu ndogo), Njoo kwetu Gamboshi uone kama utafika
Kwa utawala wa Mkulu wetu wawekezaji na wananunuzi wanaotoka nje ya nchi,,wote walishasimama kununua mkuu
[emoji1] [emoji2] [emoji2]Lyambamgongo
Karibu lyambamgongo hapa mitaa ya ifunde au tukutane mwalo au hata ishololo
Waaaahooooo!!!Ilangara, Ghalu, Muriti, Nakamwa Masonga