Njoo tucheze mchezo

Njoo tucheze mchezo

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Fanya hvi chukua mwaka wko uliozaliwa halafu jumlisha na umri ulionao sasa utapata 2020. haijalishi umezaliwa mwaka gan na una umri gan watu wte jumla yke ni 2020. mfano 2000+20 = 2020 au 2001+19= 2020
hya lets go 😉
 
wewe ndio kilaza hta kujumlisha hujui. hebu fata maelezo ya hapo juu au nikupatie short course ya kujumlisha hta ya dakika 5?
Itakua "hujamwaga oil" muda mrefu.
Hakuna maajabu katika huo mchezo unaouhisi kuwa umeugundua. Ulifanya hivyo kwa miaka yote itakua ni hivyo hivyo.
Mwaka uliozaliwa + miaka uliyonayo hadi mwaka huo husika= Mwaka huo husika.
ni principle ya hesabu.
 
ona ulivo kilaza baada ya kufata maelekezo unakuja na theories hazieleweki 😂 kwan watanzania mna nn lakin?
 
Back
Top Bottom