Njoo tudanganyane kuhusu makomando wa Tanzania

Njoo tudanganyane kuhusu makomando wa Tanzania

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Watanzania tulio wengi ni wajuaji wa vitu tusivyo vijua njooni TUDANGANYANE KUHUSU makomandoo wa JWTZ

Story yeyote ya mtaani uliyoisikia kuhusu wao
Note:motto wao ni

PAIN IS MY MEDICINE
 

Attachments

  • 20241114_130129.jpg
    20241114_130129.jpg
    37.2 KB · Views: 5
Unajua zile misheni ngumu ngumu wanazofanya CIA na MI6? Huwa lazima waongozwe na kikosi mojawapo cha makomandoo wa JWTZ.

Hawajawahi kufeli misheni wale, labda waamue kususia wenyewe au kugeukana mzigoni.

Kuna huyu mwamba wakati wa kurudi, baada ya misheni ya usiku kule ME, si akateleza kwenye kamba ya kupandia helikopta.

Basi bwana, hamna shida maana hawa hawashindwi kitu wala hawababaishwi na changamoto kama hizo.

Unaambiwa jamaa aliogolea kukatiza bahari yote ya pasifiki hadi akafika pwani ya California, na wala hakuwa na vifaa vyovyote vya uogeleaji zaidi ya gwanda zake maalum na silaha nzito.

Baadaye nikirudi, ntaleta picha zake na jina kamili na tarehe ya misheni.
 
Unajua zile misheni ngumu ngumu wanazofanya CIA na MI6? Huwa lazima waongozwe na kikosi mojawapo cha makomandoo wa JWTZ.

Hawajawahi kufeli misheni wale, labda waamue kususia wenyewe au kugeukana mzigoni.

Kuna huyu mwamba wakati wa kurudi, baada ya misheni ya usiku kule ME, si akateleza kwenye kamba ya kupandia helikopta.

Basi bwana, unaambiwa jamaa aliogolea kukatiza bahari yote ya pasifiki hadi akafika pwani ya California, na wala hakuwa na vifaa vyovyote vya uogeleaji zaidi ya gwanda zake maalum na silaha nzito.

Baadaye nikirudi, ntaleta picha zake na jina kamili na tarehe ya misheni.
😁
 
Basi unaambiwa mwaka 1978 kwenye vita wakati wanavuka gari si ikaishiwa mafuta mwanangu landlover yao kule Kagera maeneo ya katoke hivi Ikabdi mafundi wanajeshi waifungue Ile gari zile spare zote akapewa komando mmoja akazibeba mgongoni oya 🤣
Sio poa wa kafika sehemu tambarare ikafungwa yule kamando akafungwa mnyonyoro ndani watu kumi hvi unaambiwa aligeuka breakdown gari ikavutwa mwangu mwangu mpka wakavuka mpaka
 
Wanaweza kuvunja tofali kwa meno.
Upumbavu wa watu ambao hawajaenda jeshini kuvunja tofali kwa meno ile ni michezo makomandoo hucheza wakishamaliza kazi

Unategemea komandoo acheze rede au ngoma ya mdumange au kibati au sindimba au kigodoo akitoka kazini?

Kama wewe ukitoka kazini waweza cheza draft au mpira makomandoo ile ndio baadhi ya michezo yao wakiwa hawako kazini

Unashangaa nini bwege wewe?
 
"Basi mwanagu,hawa makomandoo wanaweza kujificha kwenye matope kwa wiki nzima mpaka adui apite ndio wanaibuka,

Hua wana Biskuti zao hizo za Jeshi,ukila moja unashiba wiki nzima halafu huendi choo ili maadui wasije kuona alama,
wanakunywa maji tone moja tu"

Alisikika Dogo mmoja wa Mburahati baada ya kupigwa na Muhindi hela ya kula kwenye kubet.
 
Back
Top Bottom