Kwanza yale matofali wanatumia huwa wanayatengeneza wao, tofali kabisa lenye ratio mzuri ya cement wale makomandoo kwenye maonyesho anapiga kichwa anazirai hapo hapo.
Ah! We kumbe huwajui komando wewe, komando wa jw vichwa vyao na mikono yao ni chuma tupu, huwa nafanyiwa operation wanatolewa mifupa yote wanawekewa vyuma.