Njoo tufanye biashara ya kununua korosho

Siipendi CCM kwasababu ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo ila kiukweli naumia mno na aina ya upinzani kama huu wa mbowe na lema
nakuelewa mkuu, lakini hakuna cha kufanya mfano kama huu uandikishaji wa sasa ynaendelea mambo ya ajabu sana lakini wananchi tupo kimya. kama kuna janga hatari zaidi ni hili mkuu kuliko weakness za upinzani mii maoni yangu ni haya. ni tabu sana
 
Huku vijijini watu wanashangilia balaa kuwa samia kapandisha bei ya korosho kwakweli inahuzunisha mno wananchi wanapofanywa wajinga kiasi hiki
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Hao watu wawili hawawezi itoa ccm madarakani badala yake inabidi wananchi wafanye jambo, ndio maana kuna mdau hapo juu kakwambia wananchi ndio wadhaifu na si wapinzani.
Siipendi CCM kwasababu ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo ila kiukweli naumia mno na aina ya upinzani kama huu wa mbowe na lema
 
Ndio maana nilikwambia hizi bei ni siasa tu, ccm ni wahuni sana wanacheza na akili za wananchi. Na wameisha tujulia kwahiyo wanatufanya wanavyo taka wao, ngumu sana wapinzani kuwatoa pale inahitajika nguvu ya wananchi sio wapinzani.
Huku vijijini watu wanashangilia balaa kuwa samia kapandisha bei ya korosho kwakweli inahuzunisha mno wananchi wanapofanywa wajinga kiasi hiki
 
Kwanini usisafirishe kontena 1 upeleke China,India au Vietnam. Upate pesa maradufu
Je njia za kusafirish ni rahisi au kuna janjajanja nyingi kontena moja linaweza kuwa na Tani ngapi?kwa maana ya mzigo unaweza kuwa wa Tani ngapi?
 
Back
Top Bottom