African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Karibu mkuuSiti ya mbele kabisa kuchota maarifa.
Itakuwa unakabiliwa na hali ya kutokujiamini na skills ulizokuwa nazo. Njia pekee ya kuondokana nayo ni kupractice vya kutosha.Nyuzi nizipendazo
Hivi nyie mmewezaje wakuu
Mimi nishainstall Android studio nikaishi na Tutorial za youtube lakini kwenye vitendo ni zero
Kweli aisee ngoja nikomaeItakuwa unakabiliwa na hali ya kutokujiamini na skills ulizokuwa nazo. Njia pekee ya kuondokana nayo ni kupractice vya kutosha.
Ukimaliza kuangalia tutorial, jaribu kufanya tena kitu ulichojifunza bila kuangalia tutorial. Jaribu kufanya kitu tofauti. Mfano kama tutorial inaelekeza jinsi ya kutengeneza user login page, kutumia ujuzi huo wewe tengeneza kitu kingine tofauti. Kiufupi practice, experiment and be creative. Vitu vitakaa vyenyewe.
Walaji wa mambo muhimu kama haya ni wachachehizi nyuzi sijui kwanini hazifika mbali
Visual Studio Code haifai?Mkuu IDE nzuri ya dart ni ipi kwa upande wako
Nimejaribu Android Studio iko very complicated kwa begginer
Nimejaribu IntelliJ IDEA ni nzuri lakini ni ya kulipia na nimekwama bado sjafanikisha kuset flutter sdk
Naomba muongozo
Naona huu Uzi utafika reply 100 kwasababu ndo nimeamua rasmi kuchapa code
Sijajaribu hii...Je inaweza kurun na kuonesha bug wakati huo ikitoa suggestion kama ilivyo intelliJ na A.studio???Visual Studio Code haifai?
View attachment 2711448
VS Code mkuuMkuu IDE nzuri ya dart ni ipi kwa upande wako
Nimejaribu Android Studio iko very complicated kwa begginer
Nimejaribu IntelliJ IDEA ni nzuri lakini ni ya kulipia na nimekwama bado sjafanikisha kuset flutter sdk
Naomba muongozo
Naona huu Uzi utafika reply 100 kwasababu ndo nimeamua rasmi kuchapa code
Walaji wa madini haya ni wachacheUzi muhimu sana huu, nasikitika tu umekosa wachangiaji!
Na hii flutter naanzia wapi naona umeukimbia uzi.nipe muongozoVS Code mkuu
Hapana sio lazima urudi kwenye JS. Na sio lazima uijue sana dart ili uweze kutengeneza user interface kwa flutter.Na hii flutter naanzia wapi naona umeukimbia uzi.nipe muongozo
1.Nijifunze dart sina ujuzi wa PL yoyote na inasisitizwa ujue walau JS
2.Nirudi kwenye JS kwanza nimeze alaf ndo niende kwenye Dart
3.Dart aina umuhimu sana??
4........
Hahaha noma sanasaivi nimekuwa mzee akili ikiona hizi vitu naskia kuchanganyikiwa😂😂😂😂
Hapa tutatumia Android studio au IDE gani itapendeza zaidi kutumia?Hapana sio lazima urudi kwenye JS. Na sio lazima uijue sana dart ili uweze kutengeneza user interface kwa flutter.
Anza kujifunza syntax za dart. Then jifunze Object Oriented Programming kwa dart. Baada ya hapo utakuwa uko tayari kwa kuanza kujifunza Flutter. Jifunze kutumia widgets mbali mbali na siku hizi si unajua code zinajiandika wenyewe
Ni wewe tu chaguo lako ila mimi nimetokewa kupendezwa na vs codeHapa tutatumia Android studio au IDE gani itapendeza zaidi kutumia?