Njoo tujifunze namna ya kutengeneza Mobile Apps kwa Flutter

Na hii flutter naanzia wapi naona umeukimbia uzi.nipe muongozo

1.Nijifunze dart sina ujuzi wa PL yoyote na inasisitizwa ujue walau JS

2.Nirudi kwenye JS kwanza nimeze alaf ndo niende kwenye Dart

3.Dart aina umuhimu sana??

4........
Mkuu nimeinstall android studio... Ila sasa inapoanza kudownload google apis na emulators inabaki hapo masaa kibao shida inaweza kuwa nini
 
Aisee ndomaana nikiachana na A.studio kwa bando zetu za mawazo mpk uje uiset ikubali kazi una

Apo bado ujadownload Plugin unazotaka kutumia
Bado ujashusha SDK
Bado ujainstall tools kibao mpaka ije ikamilike kazi sana aisee

Natazamia VS code kama IDE mpya lakini unaweza kuangalia youtube tuts za installation za Android studio
 
Aisee ndomaana nikiachana na A.studio kwa bando zetu za mawazo mpk uje uiset ikubali kazi una

Natazamia VS code kama IDE mpya lakini unaweza kuangalia youtube tuts za installation za Android studio
Vscode ninayo na ndio naitumia kwa python japo siipendi napendelea zaidi vscode ya online sema nikimix python na tkinter kwa ajili ya interface vscode ya online haitambui hiyo.
Sasa hivi nataka nianze jifunza dart na flutter sema pia kikwako pc yangu haikidhi kigezo cha resolution
 
Naam kwakweli tatizo nililoliona kwa AS nalo ni resolution..japo ni nzuri sana sana sio kwa PL yoyote android studio imekaa vizuri sana VS sijawai kutumia ila nampango wakuanza kutumia

Pia jaribu IntelliJ IDEA kwa dart imekaa vizuri sana lakini pia kuna Dart pad ya online nayo iko vizuri kwa Dart
 
Ntajaribu hizi pia mkuu nione
 
Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web.

Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili tuweze kunufaika wote. Nakaribisha wajuzi wa Flutter, wanaoanza kujifunza flutter na wapenda tech wote tukutane hapa tubadilishane vitu viwili vitatu.

LET'S GO!

View attachment 2650549
Habari African Geek, nawezaje kukupata kwa maelezo zaidi?
 
Back
Top Bottom