babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 703
- 491
Usiwe mbinafsi,mwombe atupe hapa sote tujue maana hata ss tunapenda kujua pia.Captain nilikuwa naomba ujuzi zaidi kuhusu vipande vya UTT...naomba ni PM
Sawa mkuu nimekuelewa..Usiwe mbinafsi,mwombe atupe hapa sote tujue maana hata ss tunapenda kujua pia.
Ishu zote zenye faida kubwa huwa na risk kubwa pia e.g Madini,Narcotics,transport e.t.c,so cha muhimu ni kukomaa tu kama unahaja na hyo hela,take culculated risks.waswahili wanasema fuata nyuki ule asali.ukimfuata kwa tahadhari utafika mpaka kunako mzinga,ila ukienda kindezi utaambulia manunduTangu niangalie sinema ya "Wolves Of Wall Street" naogopa hili neno soko la hisa,.....
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ishu zote zenye faida kubwa huwa na risk kubwa pia e.g Madini,Narcotics,transport e.t.c,so cha muhimu ni kukomaa tu kama unahaja na hyo hela,take culculated risks.waswahili wanasema fuata nyuki ule asali.ukimfuata kwa tahadhari utafika mpaka kunako mzinga,ila ukienda kindezi utaambulia manundu