Njoo tujuzane kuhusu Hisa

Njoo tujuzane kuhusu Hisa

nashkuru sna kwa hili somo na ubarikiwe sana. ila me nakuliza kwann na nisababu zipi zinapelekea hisa ishuke ?pia kampuni uliyonunua hisa itafilisika hakuna option ya kupata pesa zako ? naomba kuelewa zaidi
 
Tangu niangalie sinema ya "Wolves Of Wall Street" naogopa hili neno soko la hisa,.....
Ishu zote zenye faida kubwa huwa na risk kubwa pia e.g Madini,Narcotics,transport e.t.c,so cha muhimu ni kukomaa tu kama unahaja na hyo hela,take culculated risks.waswahili wanasema fuata nyuki ule asali.ukimfuata kwa tahadhari utafika mpaka kunako mzinga,ila ukienda kindezi utaambulia manundu
 
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Back
Top Bottom