musacha
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 185
- 139
Nashukuru musacha
Ndugu yangu wewe ni broker? Au kuna broker unaemjua. Nataka kuwekeza huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru musacha
Nashukuru musacha
Je kama ntamiliki hisa za kampuni X, na nikapewa cheti cha umiliki hisa, ikatokea hiyo kampuni kufanya vibaya kiasi CHA kushusha thamani ya mtaji, vipi status ya kile cheti nkienda kuombea mkopo!
umeleta cha mana sana lkn ebu niulize kaswali his a isipoongezaka haupati chochote??????
Sio tu kwamba haupati chochote, thamani ya hisa ikishuka unaweza ukapoteza kila kitu, na pia hakuna guarantee ya dividends kwa vile una hisa, kampuni ina uhuru wa kuamua kama itatoa dividends kila mwaka.umeleta cha mana sana lkn ebu niulize kaswali his a isipoongezaka haupati chochote??????
Sio tu kwamba haupati chochote, thamani ya hisa ikishuka unaweza ukapoteza kila kitu, na pia hakuna guarantee ya dividends kwa vile una hisa, kampuni ina uhuru wa kuamua kama itatoa dividends kila mwaka.
Kuinvest katika hisa individually ni kama bahati na sibu fulani, na DSE bado iko shallow sana makampuni ni machache sio rahisi kufanya diversification ya maana, ni vizuri zaidi kuinvest kwenye funds, funds zina mchanganyiko wa hisa za makampuni mbalimbali, bonds etc.
Pia kwa TZ protection ya shareholders sio nzuri katika hisa angalia suala la NICOL yaani hawa DSE kama vile wamenawa mikono na ilemissue hakuna taarifa yoyote inayoeleweka.
Na niseme kuwa nina suspicion kubwa kuwa kuna insider trading inaendelea na hisa za kampuni nyingi hapa bongo, insider trading ni pale watu wa ndani ya kampuni wanapotumia taarifa ambazo sio public kuuza na kununua hisa so wao wanafaidika sisi wawekezaji wa kawaida inakula kwetu.
Ndugu yangu wewe ni broker? Au kuna broker unaemjua. Nataka kuwekeza huko.
Captain nilikuwa naomba ujuzi zaidi kuhusu vipande vya UTT...naomba ni PMHl n bonge la somo m nlianza kununua vipande UTT nlijua n sehemu yNgu tu ya kuhifadh pesa kumbe ina faida kias hk nahc n njia bora ya kukuza mtaji