qinglong
Senior Member
- Mar 23, 2017
- 161
- 402
Mi nilipewa umonitor form 2...na mwalimu wa darasa sio kwa kua nilikua na akili au mstaarabu bali mkorofi niliyetukuka..sasa aliona akinipa umonitor nitakua mpole nk.Mi nakumbuka primary kuna kiranja alikuwaga ananionea sana kisa usmart wangu afu pia nilikuwa na materials na vifaaa vingi vya kuchezea maana mama yangu alikuwa anafanya kazi shirika moja la kugawa misaada kwa watoto kuna siku nilimwita sehemu nilimpiga mawe nilipoondoka shuleni sikurudi tena mama alinihamisha sijui nini kilijiri.
Secondary nakumbuka monitress alikuwa na tabia ya kuniandika kwa wapiga kelele bila sababu ila mwisho wa siku alikuja kunambia alitokea kunichukia sababu alinipenda sana sema Mimi sikuonesha nia tulifall in love kitu kilichonipelekea u gomvi mkubwa na aliyekuwa kiranja wa nidham nikawa mtu wa kusingiziwa na kuundiwa mazengwe kisa mtoto mzuri B.
Lakin haikua ivyo nilikua naandika majina ya noise maker jumatatu tu...na hayo majina nayatumia kuanzia j.tatu had ijumaa...yani kama upo j.tatu utapigwa hadi ijumaa.
Siku mwalimu alipogundua nilipigwa mno..mno...na kibarua kikaota nyasi...mbez beach 2004-2008..it was awesome.