Njoo tukumbushane visa na matukio kutoka kwa viranja ,mamonitor wa secondary na primary:

Njoo tukumbushane visa na matukio kutoka kwa viranja ,mamonitor wa secondary na primary:

kidato cha 4 iyo, kiranja mnoko sana nikamwambia mwanangu mmoja tunamfanyaje huyu. tukakubaliana kumpa hasara.

kama utani tukaanza toa upepo kwa baiskeri yake huku tunatupa vale, ikaja tukaiba kitako bado jamaa mnoko.

tukaiba baiskeli nzima, hahaahahha ilikuwa mshike mshike pale skuli. watu kuandika maoninya wanaohisi ni wezi wakamtaja bro mmoja mtata kweli akaambiwa alipe baiskeli.

tukaona imekuwa noma, tukairudisha baiskeli ile haina tairi moja. ndo unafuu ukapatikana
 
nilichaguliwaga monitor nikakataa nikiwa form three nikatumwa kuleta mzazi nikenda kuleta mlevi mmoja hivi kilichotokea nilipigwa stick na vibao vya kutosha kilichoniokoa ni jag la maziwa lililokuwa ofisini kwa walimu baada ya kupigwa kibao cha shingoni kikazunguka nikajikuta nimeshika jag nataka kuwamwagia maziwa nikakimbizwa staff room (ofisini) as if mimi ni mwizi .Ila nawashukuru wale walimu walinisaidia hapa nilipo ni michango yao japokuwa sipendi uongozi bali nimebahatika kuwa kiongozi wa familia yangu
 
Pole sana.

Yaani usinikumbishe, halafu mie nikafika sec kibarua kikaanza upya... Nilikuwa nalia kila leo nikiwa primary!!!! Halafu yule mwalimu sitomsahau toka darasa la nne mpaka la saba ni mie tuu na adhabu ya viboko juu kisa nilichaguliwa nikalia!!!! Aki P..., Mungu anakuona ila Nshakusamehe!!!!!
 
Aisee kuna kiranja nilikuwa cmpend kapemba kisomba, ulikuwa mnoko sana sikulaumu uenda Ulikuwa utoto ila kama bado unaendelea na tabia yako na kusih uache ndoa itakushinda mama
Kapemba kisomba hilo ni jina la kike?[emoji15]

Sasa lakiume litakuwaje? Uwiiii
 
Mimi monitor alikuwaga ni mshkaji wangu sana, na mimi ndio niliempa promo mpaka akawa monitor ilikuwa hivi kwenye uchaguzi mimi ndio nilimsupport kwa kuongea na mademu wa darassa letu kusudi wamchague jamaa na mademu enzi hizo walikuwa wananielewa hatar.

Hivyo jamaa hajawahi niandika jina na akiniandika basi hayapeleki kwa mwalimu. Over
 
Back
Top Bottom