zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
kidato cha 4 iyo, kiranja mnoko sana nikamwambia mwanangu mmoja tunamfanyaje huyu. tukakubaliana kumpa hasara.
kama utani tukaanza toa upepo kwa baiskeri yake huku tunatupa vale, ikaja tukaiba kitako bado jamaa mnoko.
tukaiba baiskeli nzima, hahaahahha ilikuwa mshike mshike pale skuli. watu kuandika maoninya wanaohisi ni wezi wakamtaja bro mmoja mtata kweli akaambiwa alipe baiskeli.
tukaona imekuwa noma, tukairudisha baiskeli ile haina tairi moja. ndo unafuu ukapatikana