Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: 0612607426. Kazi zote zitafanyika remotely.

Huduma za ujenzi Vituo vya Mafuta
Kwa wale wanaotegemea kujenga vituo vya mafuta, njoo tukuandalie mpango wa biashara na mchoro wa kituo cha mafuta kwa gharama ya TZS 500,000 tu.

IMG-20240809-WA0003.jpg

IMG-20240809-WA0004.jpg

IMG-20241022-WA0009.jpg

IMG-20241022-WA0010.jpg

Screenshot_20241201_152431_Gallery.jpg

Contact:
Bright and Genius Editors
Phone: 0612607426
Email: bandg.editors@gmail.com

📢 𝙃𝙐𝘿𝙐𝙈𝘼 𝙕𝙄𝙉𝘼𝙕𝙊𝙏𝙊𝙇𝙀𝙒𝘼 𝙉𝘼 𝘽𝙍𝙄𝙂𝙃𝙏 𝘼𝙉𝘿 𝙂𝙀𝙉𝙄𝙐𝙎 𝙀𝘿𝙄𝙏𝙊𝙍𝙎 📢

𝑻𝑼𝑵𝑨𝑨𝑵𝑫𝑰𝑲𝑨 𝑵𝑨 𝑲𝑼𝑯𝑨𝑹𝑰𝑹𝑰 𝑫𝑶𝑪𝑼𝑴𝑬𝑵𝑻𝑺 𝒁𝑰𝑭𝑼𝑨𝑻𝑨𝒁𝑶

👉1. Business Proposal/Plan 💼,

👉2. Katiba za Vikundi 📜,

👉3. Cover Letter na CV/Resume 📄,

👉4. Website Content 🌐,

👉5. Barua za Wadhamini ✉️,

👉6. Study Plan na Statement of Purpose 📚,

👉7. Personal Statement 📝,

👉8. Mikataba 📑,

𝑳𝑨𝑲𝑰𝑵𝑰 𝑷𝑰𝑨 𝑻𝑼𝑵𝑨𝑯𝑨𝑹𝑰𝑹𝑰 𝑫𝑶𝑪𝑼𝑴𝑬𝑵𝑻𝑺 𝒁𝑰𝑭𝑼𝑨𝑻𝑨𝒁𝑶👉9. Thesis 🎓,

👉10. Research paper 📊,

👉11. Manuscript 📝,

👉12. Project, na dissertation 📑,

𝑳𝑨𝑲𝑰𝑵𝑰 𝑷𝑰𝑨 𝑻𝑼𝑵𝑨𝑻𝑶𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒁𝑰𝑭𝑼𝑨𝑻𝑨𝒁𝑶
👉13. Data analysis kwa kutumia softwares mbalimbali bila kusahau machine learning 📈,

👉14. Kufanya maombi ya scholarship nchi zote duniani 🌍,

👉15. Kuomba vibali vya kufanya biashara ya mafuta ⛽,

👉16. Kuomba vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta 🏭,

👉17. Kuandaa michoro ya vituo vya mafuta 🖌️,

👉18. Kutoa ushauri jinsi ya kuanzisha na kufanya biashara ya mafuta na biashara zingine 💡,

📚👉20. Tunauza Vitabu vya Kujifunza Ujuzi, Biashara Mbalimbali na Ujasiriamali! 📚

👉21. Kusajili; Majina ya Kampuni na majina ya Biashara BRELA. 📑

👉22. Kuomba TIN namba na leseni za Biashara. 📋

👉23. Kufanya Malipo Online Kupitia Visa Card, Mastercard, Airtel Money, Mpesa na Tigo Pesa. 💳

👉24. Kudesign LOGO, COVER na POSTERS

mmexport1718000514558.jpg

mmexport1718000510999.jpg

mmexport1718000518648.jpg

mmexport1718000522845.jpg

mmexport1718000530862.jpg

mmexport1718000530862.jpg

mmexport1718000546036.jpg

mmexport1718000542873.jpg
mmexport1718000538807.jpg

mmexport1718000535284.jpg
mmexport1718000530862.jpg

Unaweza kutupata kupitia tovuti yetu:
🌐 Kuwasiliana nasi kupitia
☎️ Whatsapp kwa namba 0612607426 au
📧 Kupitia barua pepe bandg.editors@gmail.com.
 
Attachments

  • IMG-20240817-WA0002.jpg
    IMG-20240817-WA0002.jpg
    27.9 KB · Views: 38
Mchakato mzima wa passport mpka kuipata inaweza kuchukua gharama kiasi gani ?
 
20,000 /= ya kudownload form, 150,000 /= ya kulipia ofisi za uhamiaji ili kutengeneza passport. Jumla 170,000 /=.

Sisi tutakusaidia kujaza form tu. Kupeleka uhamiaji ni mhusika mwenyewe.
Ahsante sana , nikurudi Dar nitawacheki niikamilishe huo mpango panapo majaaliwa maana huku nilipo sasa Kijijini itakuwa tabu kwenda uhamiaji.
 
Mbona mimi process ilikuwa kulipia elfu ishirini kupitia control namba ndipo unadownload form halafu kule uhamiaji nikalipa 130,000 bank nmb pale uhamiaji nmb ndani jumla ikawa 150,000.
Mtasemaje mtu anajaziwa form online kwa elfu 20,000/= halafu yeye mwenyewe ataenda uhamiajj kulipa 150,00/= kitu ambacho sio kweli mtu akishaja online na kulipa 20,000/= uhamiaji anatakiwa kulipa 130,000/=.
Embu elezeni vizuri kama mnataka kuwasaidia watu mnachaji wapi?
 
Yaani badala ya wewe kujaza form yako mtandaoni sisi tunakusaidia ili kuokoa muda wako. Gharama za kuokoa muda wako unatulipa sisi elfu 20.
Hayo ya kuwalipa uhamiaji ili kuprocess maombi yako ya passport sisi hatuhusiki nayo. Sisi ni kujaza taarifa tu ndio kazi yetu.
 
Ungeeleza hivyo basi kwenye posti yako mbona inaeleweka hakuna msaada wa bure.
Kwamba tunakusaidia kujaza fomu online kwa gharama ya tsh 20,000 halafu muhusika itabidi alipe tena elfu 20 kwenye control number jumla inatakiwa awe na tsh elfu 40.
Akienda uhamiaji atalipia tsh laki na 30.
 
Jana nimejaza form ya passport kwa kutumia simu yangu hata dk 30 ni nyingi. Muda gani sasa hapo mnaookoa??
 
Ungeeleza hivyo basi kwenye posti yako mbona inaeleweka hakuna msaada wa bure.
Kwamba tunakusaidia kujaza fomu online kwa gharama ya tsh 20,000 halafu muhusika itabidi alipe tena elfu 20 kwenye control number jumla inatakiwa awe na tsh elfu 40.
Akienda uhamiaji atalipia tsh laki na 30.
Yaani sisi sio uhamiaji sisi kazi yetu ni kujaza fomu tu. Hayo mambo ya uhamiaji kulipia kwa control number hatuhusiki nayo kabisa.
Na hii ni kwa wale wenye kazi nyingi hadi wanakosa muda wa kujaza form.
 
Mchakato mzima wa passport mpka kuipata inaweza kuchukua gharama kiasi gani ?
20,000 ni kulipia form.
150,000 kulipia passport basi imeisha.
Labda hapo barua ya mtendaji wa serikali ya mtaa .2000🤣
Stationary kama huwezi kutumia simu kuapply online
 
Yaani sisi sio uhamiaji sisi kazi yetu ni kujaza fomu tu. Hayo mambo ya uhamiaji kulipia kwa control number hatuhusiki nayo kabisa.
Na hii ni kwa wale wenye kazi nyingi hadi wanakosa muda wa kujaza form.
Acha uongo wako wewe ukijaza fomu hadi kuidownload lazima ulipe kwa control number elfu 20.
Ukienda uhamiaji huko unalipia laki na 30 iliyobaki tu haulipi laki na nusu.
Nakushauri eleza vizuri bandiko lako manake kwa mimi muelewa nawaona ni matapeli.
Yaani umeelewa namaanisha nini halafu unajifanya unabisha ukweli huo.
Elezeni kwamba tunakusaidia kujaza kwa gharama ya elfu ishirini ambapo italetwa control namba ambapo utalipa elfu ishirini
Uhamiaji utaenda kulipia laki na thelathini.
Sasa kwa kuwa wewe unajifanya mjanja naliharibu tangazo lenu kama ifuatavyo.
KWA KUWA MMEONYESHA UTAPELI ATAKAYEHITAJI PASPOTI ANITUMIE NYARAKA MUHIMU KWENYE INBOX YANGU NITAMFANYIA BURE HIYO PROCESS HALAFU NITAMTUMIA CONTROL NUMBER ALIPE ELFU ISHIRINI NITAMDOWNLOADIA FOMU YAKE NA KUMTUMIA BURE KABISA KWENYE EMAIL YAKE AENDE UHAMIAJI AKAENDELEE NA MCHAKATO.
 
20,000 ni kulipia form.
150,000 kulipia passport basi imeisha.
Labda hapo barua ya mtendaji wa serikali ya mtaa .2000🤣
Stationary kama huwezi kutumia simu kuapply online
Baada ya kumaliza hizo process , unaweza kuipata kwa muda gani ?
 
Kwa hapa dar ukimaliza hiyo process wanakupa kimemo tarehe ya 30 baada ya kumaliza hiyo process uende ukachukue paspoti yako .
Ila mimi mfano ndani ya 2weeks walinitumia msg kwenye simu yangu kwamba paspoti yangu ipo tayari niende jengo la wizara ya mambo ya ndani posta kuchukua paspoti yangu
 
Acha uongo wako wewe ukijaza fomu hadi kuidownload lazima ulipe kwa control number elfu 20.
Ukienda uhamiaji huko unalipia laki na 30 iliyobaki tu haulipi laki na nusu.
Nakushauri eleza vizuri bandiko lako manake kwa mimi muelewa nawaona ni matapeli.
Yaani umeelewa namaanisha nini halafu unajifanya unabisha ukweli huo.
Elezeni kwamba tunakusaidia kujaza kwa gharama ya elfu ishirini ambapo italetwa control namba ambapo utalipa elfu ishirini
Uhamiaji utaenda kulipia laki na thelathini.
Sasa kwa kuwa wewe unajifanya mjanja naliharibu tangazo lenu kama ifuatavyo.
KWA KUWA MMEONYESHA UTAPELI ATAKAYEHITAJI PASPOTI ANITUMIE NYARAKA MUHIMU KWENYE INBOX YANGU NITAMFANYIA BURE HIYO PROCESS HALAFU NITAMTUMIA CONTROL NUMBER ALIPE ELFU ISHIRINI NITAMDOWNLOADIA FOMU YAKE NA KUMTUMIA BURE KABISA KWENYE EMAIL YAKE AENDE UHAMIAJI AKAENDELEE NA MCHAKATO.
Andiko mbona lipo wazi ni wapi unashindwa kuelewa (Soma Kichwa cha Andiko). Kazi yetu ni kujaza form mtandaoni (Online Service)
Gharama zetu za kukujazia form ya Passport ni elfu 20.
Haipungui wala haiongezeki.
Mambo ya kuwalipa uhamiaji ili kudownload form na kusubmit form uhamiaji hatuhusiki nayo.

Elewa sisi ni (Online Services)

Pia tunajaza form zifuatazo:
Brela Form (Elfu 50),
TAUSI Form (Elfu 50),
UK SCHOLARSHIP Form ( Laki moja),
CHINA SCHOLARSHIP Form (Elfu 50),
Foreign University Admission Form (Elfu 50),
BODI YA MIKOPO Form (Elfu 15),
TZ University Admission Form (Elfu 10).
 
Acha uongo wako wewe ukijaza fomu hadi kuidownload lazima ulipe kwa control number elfu 20.
Ukienda uhamiaji huko unalipia laki na 30 iliyobaki tu haulipi laki na nusu.
Nakushauri eleza vizuri bandiko lako manake kwa mimi muelewa nawaona ni matapeli.
Yaani umeelewa namaanisha nini halafu unajifanya unabisha ukweli huo.
Elezeni kwamba tunakusaidia kujaza kwa gharama ya elfu ishirini ambapo italetwa control namba ambapo utalipa elfu ishirini
Uhamiaji utaenda kulipia laki na thelathini.
Sasa kwa kuwa wewe unajifanya mjanja naliharibu tangazo lenu kama ifuatavyo.
KWA KUWA MMEONYESHA UTAPELI ATAKAYEHITAJI PASPOTI ANITUMIE NYARAKA MUHIMU KWENYE INBOX YANGU NITAMFANYIA BURE HIYO PROCESS HALAFU NITAMTUMIA CONTROL NUMBER ALIPE ELFU ISHIRINI NITAMDOWNLOADIA FOMU YAKE NA KUMTUMIA BURE KABISA KWENYE EMAIL YAKE AENDE UHAMIAJI AKAENDELEE NA MCHAKATO.
🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭🥴🥴
 
Heshima yako mkuu.
Niko na swali moja kwako.
Hivi ili mtu awaze kuanzisha biashara ya Petrol station anatakiwa kwenye akaunti yake awe na pesa kiasi gani minimum?
 
Back
Top Bottom