Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

Acha uongo wako wewe ukijaza fomu hadi kuidownload lazima ulipe kwa control number elfu 20.
Ukienda uhamiaji huko unalipia laki na 30 iliyobaki tu haulipi laki na nusu.
Nakushauri eleza vizuri bandiko lako manake kwa mimi muelewa nawaona ni matapeli.
Yaani umeelewa namaanisha nini halafu unajifanya unabisha ukweli huo.
Elezeni kwamba tunakusaidia kujaza kwa gharama ya elfu ishirini ambapo italetwa control namba ambapo utalipa elfu ishirini
Uhamiaji utaenda kulipia laki na thelathini.
Sasa kwa kuwa wewe unajifanya mjanja naliharibu tangazo lenu kama ifuatavyo.
KWA KUWA MMEONYESHA UTAPELI ATAKAYEHITAJI PASPOTI ANITUMIE NYARAKA MUHIMU KWENYE INBOX YANGU NITAMFANYIA BURE HIYO PROCESS HALAFU NITAMTUMIA CONTROL NUMBER ALIPE ELFU ISHIRINI NITAMDOWNLOADIA FOMU YAKE NA KUMTUMIA BURE KABISA KWENYE EMAIL YAKE AENDE UHAMIAJI AKAENDELEE NA MCHAKAT
 
Mkuu..!Cheti cha kuzaliwa kina sehemu kimekosewa tarehe ya kuzaliwa,Je naweza kutumia NIDA kama mbadala wake?
 
20,000 /= ya kudownload form, 130,000 /= ya kulipia ofisi za uhamiaji ili kutengeneza passport. Jumla 150,000 /=.

Sisi tutakusaidia kujaza form tu. Kupeleka uhamiaji ni mhusika mwenyewe.
Yaani sijaelewa form kudownload si kwa MB sasa iyo 20k imetokea wapi?
 
Yaani badala ya wewe kujaza form yako mtandaoni sisi tunakusaidia ili kuokoa muda wako. Gharama za kuokoa muda wako unatulipa sisi elfu 20.
Hayo ya kuwalipa uhamiaji ili kuprocess maombi yako ya passport sisi hatuhusiki nayo. Sisi ni kujaza taarifa tu ndio kazi yetu.
Bongo kutoboa ngumu sana watu wanakutega ili tu wakulipue jamani..!
 
Nadhani angeenda navyo kama vilivyo watamsaidia wenyewe kulekule
Mule kuna wanasheria watampa fomu ya kiapo(Affidavity) 10K akiongea nao vizuri..Au mwanasheria yeyote wa Mtaani amwambie tu shida yake atasaidiwa kikubwa hela.
 
Yaani sijaelewa form kudownload si kwa MB sasa iyo 20k imetokea wapi?
Mbona wabongo wagumu kuelewaa😂😂.Kuna chochote cha bure kweli?Sasa akusaidie bure ni ndugu yako!!..Ila kikubwa kama ni mtaalam wa computer au hata simu pia unaweza kujaza mwenyewe..

Ni very simple,wala hakuna maajabu yoyote.
 
Duuh kumbe hapa hakuna msàada wa bure !!
 
Kwani hujasoma na kuelewa bandiko lake mkuu??

Kwa wanaohitaji pasipoti pia mzingatie kua na reason hata ya kudanganya maana watahitaji uwaeleze una mpango wa kwenda wapi??
Wana longolongo nyingi.
 
Yaani nitapiga moja fupi kali
 
Mkuu ukishalodge documents online zikakubaliwa na ukaamua kwenda ofisini kwao kukamilisha longolongo zinakuwa chache sana wanakuuliza kuhusu taarifa zinazohusiana na documents zako tu .Tena wanaweza kukuuliza kama utani flani na usipokuwa mjanja unaweza ukawa huelewi ndio wanachunguza ukweli wa taarifa zako
Longolongo ni kwa baadhi ya watu hususani waliyotokea wilaya za mipakani , kuwa na majina ambayo yanashabihiana na majina ya watu wa nchi nyingine, watanzania wenye asili ya nyingine mfano uhindi ,wasomali ,wagiriki hao watu hata kama documents zimekamilika kwa asilimia 100% utahojiwa hadi basi wanaweza hata kuhitaji kwenda kuona kaburi la bibi au babu yako.
Ila kwa watu wengine wakikuona labda mgogo jina la kigogo hata kama kuna mapungufu flani watakusaidia wao mfano mimi nakumbuka affidavid of birth ya baba yangu ilikosewa jina tofauti na nilivyojaza kwenye fomu kitu ambacho mimi niliovaluku, wakanishauri kuweka kumbukumbu sawa lazima affidavit ibadilishwe na wakanielekeza niende ofisi ya afisa uhamiaji ambaye ni advocate palepale ndani ya jengo lao anisaidie kunibadilishia ile affidavit tena yule dada aligundua ni kabila moja akanisalimia kilugha nikamjibu akanitengenezea affidavit nyingine haraka tu na hakunichaji kitu aliniita wa nyumbani.
Sikuhizi uhamiaji hawana longolongo sana isipokuwa wanavitechniqu vyao fulani vya kuhoji kuthibitisha kabila lako au sehemu ulipotoka au chochote watakachokiona kwenye nyaraka zako mfano waakisoma umezaliwa labda wilaya ya ukerewe wanaweza kukutania halafu jamaa inaonekana ni mzoefu sana wa kuoga ziwani sasa jinsi utakavyoriact kwenye huo utani unaweza kutengeneza suspicions ambazo zitawalazimu ku dig deep about you.
Kimsingi nawashauri vijana kama uwezo unaruhusu tengeneza paspoti hata kama huna safari kwa sasa. Vigezo walivyoweka hususani dhumuni la safari hicho kigezo wala hawakifatilii sana kwani wanajua kabisa zaidi ya asilimia 80 wanadanganya hapo.
Wanadeal zaidi na suala la uraia basi hapo ndipo utaulizwa sana ili kuthibitisha wewe ni Raia halali wa Tanzania.
 
Mkuu Meneja Wa Makampuni hizo services unazozitoa zitakuletea matatizo hasa hapo kwenye visa.
Passport na visa anatakiwa kujaza muhusika muombaji Tu.
Na Hata kama ni mlemavu kuna utaratibu kwenye ofisi husika kuwasaidia walemavu.
Na Sio watu wasiojulikana kufanya hiyo kazi

Je uhifadhi wa taarifa za munao wahudumia munazihifadhi vipi, zisitumike vibaya.

Unajua Kwamba utashitakiwa ww, na Tena umeweka phone number kabisa.
 
Sio kweli kumsaidia mtu kujaza sio kosa , ila huwezi msaidia kwenye mahojiano .
Kuna baadhi ya maagent wa canadian visa wanakujazia fomu za visa na kukuwekea all rellevants needed supporting document .
Mkuu utaitwa ubalozini kusubmit passport igongwe visa bila ya wewe hata kuhojiwa
 
Mkuu Meneja Wa Makampuni hizo services unazozitoa zitakuletea matatizo hasa hapo kwenye visa.
Passport na visa anatakiwa kujaza muhusika muombaji Tu.
Na Hata kama ni mlemavu kuna utaratibu kwenye ofisi husika kuwasaidia walemavu.
Na Sio watu wasiojulikana kufanya hiyo kazi

Je uhifadhi wa taarifa za munao wahudumia munazihifadhi vipi, zisitumike vibaya.

Unajua Kwamba utashitakiwa ww, na Tena umeweka phone number kabisa.
Umewahi jaza form ya VISA mkuu? Form ya VISA ina utofauti gani na form ya Scholarship?
Kama kuhifadhi document kungekua na masharti hivyo basi tusingekua tunapeleka kuprint documents stationary.
Sio vizuri kukuza vitu kwa ukubwa huo. Kujaza form sidhani kama kuna shida yoyote hizo ni form mhusika anataja taarifa zake kisha anajaziwa form kazi inaisha.
Mambo yanayobakia hapa ni yeye na watu wake.
 
Mkuu ukishalodge documents online zikakubaliwa na ukaamua kwenda ofisini kwao kukamilisha longolongo zinakuwa chache sana wanakuuliza kuhusu taarifa zinazohusiana na documents zako tu .Tena wanaweza kukuuliza kama utani flani na usipokuwa mjanja unaweza ukawa huelewi ndio wanachunguza ukweli wa taarifa zako
Longolongo ni kwa baadhi ya watu hususani waliyotokea wilaya za mipakani , kuwa na majina ambayo yanashabihiana na majina ya watu wa nchi nyingine, watanzania wenye asili ya nyingine mfano uhindi ,wasomali ,wagiriki hao watu hata kama documents zimekamilika kwa asilimia 100% utahojiwa hadi basi wanaweza hata kuhitaji kwenda kuona kaburi la bibi au babu yako.
Ila kwa watu wengine wakikuona labda mgogo jina la kigogo hata kama kuna mapungufu flani watakusaidia wao mfano mimi nakumbuka affidavid of birth ya baba yangu ilikosewa jina tofauti na nilivyojaza kwenye fomu kitu ambacho mimi niliovaluku, wakanishauri kuweka kumbukumbu sawa lazima affidavit ibadilishwe na wakanielekeza niende ofisi ya afisa uhamiaji ambaye ni advocate palepale ndani ya jengo lao anisaidie kunibadilishia ile affidavit tena yule dada aligundua ni kabila moja akanisalimia kilugha nikamjibu akanitengenezea affidavit nyingine haraka tu na hakunichaji kitu aliniita wa nyumbani.
Sikuhizi uhamiaji hawana longolongo sana isipokuwa wanavitechniqu vyao fulani vya kuhoji kuthibitisha kabila lako au sehemu ulipotoka au chochote watakachokiona kwenye nyaraka zako mfano waakisoma umezaliwa labda wilaya ya ukerewe wanaweza kukutania halafu jamaa inaonekana ni mzoefu sana wa kuoga ziwani sasa jinsi utakavyoriact kwenye huo utani unaweza kutengeneza suspicions ambazo zitawalazimu ku dig deep about you.
Kimsingi nawashauri vijana kama uwezo unaruhusu tengeneza paspoti hata kama huna safari kwa sasa. Vigezo walivyoweka hususani dhumuni la safari hicho kigezo wala hawakifatilii sana kwani wanajua kabisa zaidi ya asilimia 80 wanadanganya hapo.
Wanadeal zaidi na suala la uraia basi hapo ndipo utaulizwa sana ili kuthibitisha wewe ni Raia halali wa Tanzania.
Kwa hio hapo kwenye sababu ya kusafiri mfano sina sababu ya msingi mm nataka tu passport nikae nayo nifanyeje??
 
Kwa hapa dar ukimaliza hiyo process wanakupa kimemo tarehe ya 30 baada ya kumaliza hiyo process uende ukachukue paspoti yako .
Ila mimi mfano ndani ya 2weeks walinitumia msg kwenye simu yangu kwamba paspoti yangu ipo tayari niende jengo la wizara ya mambo ya ndani posta kuchukua paspoti yangu
Nilikua sijui kumbe wanatuma message kabisa

Mimi nilipeleka fomu Tarehe 06 ambapo nikapigwa picha na fingerprint then wakaandika kwenye kimemo natakiwa kurudi Tarehe 06 mwezi wa 9 kumbe Kwa DSM apa wiki 2 tu ishatoka? Basi itabidi nikafuatilie kuanzia wiki zijazo huko
 
IMG-20240817-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom