The Avatar
Member
- May 17, 2018
- 27
- 21
Acha uongo wako wewe ukijaza fomu hadi kuidownload lazima ulipe kwa control number elfu 20.
Ukienda uhamiaji huko unalipia laki na 30 iliyobaki tu haulipi laki na nusu.
Nakushauri eleza vizuri bandiko lako manake kwa mimi muelewa nawaona ni matapeli.
Yaani umeelewa namaanisha nini halafu unajifanya unabisha ukweli huo.
Elezeni kwamba tunakusaidia kujaza kwa gharama ya elfu ishirini ambapo italetwa control namba ambapo utalipa elfu ishirini
Uhamiaji utaenda kulipia laki na thelathini.
Sasa kwa kuwa wewe unajifanya mjanja naliharibu tangazo lenu kama ifuatavyo.
KWA KUWA MMEONYESHA UTAPELI ATAKAYEHITAJI PASPOTI ANITUMIE NYARAKA MUHIMU KWENYE INBOX YANGU NITAMFANYIA BURE HIYO PROCESS HALAFU NITAMTUMIA CONTROL NUMBER ALIPE ELFU ISHIRINI NITAMDOWNLOADIA FOMU YAKE NA KUMTUMIA BURE KABISA KWENYE EMAIL YAKE AENDE UHAMIAJI AKAENDELEE NA MCHAKAT