Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Dada yangu huyu ananichekesha sana kitambo Sana , Hii kozi Petroleum Engineering hii uligusa pabaya Sana , Sheri hizi wanamiliki warabu ata chemistry yenyew hawajuiπ
π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kozi ni kozi rafiki, hakuna kozi mbaya wala nzuri. Ndio maana leo tunashuhudia ambao hawajaenda shule kabisa ndio wanafanikiwa zaidi. Nadhani kitu kikubwa cha kuangalia ni kupata uzoefu ambao unazaa ujuzi katika jambo fulani kuliko wengine.Dada yangu huyu ananichekesha sana kitambo Sana , Hii kozi Petroleum Engineering hii uligusa pabaya Sana , Sheri hizi wanamiliki warabu ata chemistry yenyew hawajuiπ π