Njoo Tupeane Mbinu Za kuwakwepa Vibaka

Mkuu observation yako iko poa sana
 
Nimekaa sana Tandika, sasa mizigo aliiacha Ubungo au?
 
Teh teh teh teh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii mbinu ndio nzuri asee.. Ukitembea night maeneo yenye vibaka unatafuta kitu kama kipande cha mbao au kitu chochote unaweka mfukoni wakija unakitupa wanajua katuma dini wakienda tafuta unakula kona fasta
 
Mpaka sasa hivi naona wadau wengi wanaona kukimbia ni suluhisho kuu unapokutana na vibaka.
 
Mpaka sasa hivi naona wadau wengi wanaona kukimbia ni suluhisho kuu unapokutana na vibaka.

Sio kwa vibaka tu hata ukiona ffu wanakuzingu ni nduki tu... wewe humuoni yule lema sio kwa speed zile kule jimboni..
 
Sio kwa vibaka tu hata ukiona ffu wanakuzingu ni nduki tu... wewe humuoni yule lema sio kwa speed zile kule jimboni..
Mbio ni silaha pekee ambayo inakuhakikishia kutoka salama kwenye dhahma yoyote.
 
[Color=blue[duuuuuuuh hiyo Kali aisee[/color]
 
Na ukipita kwenye uchororo then ina mwanga hafifu, kumbuka kujitanua ili uonekane kama baunsa, tunisha kifua na mabega, usisahau kama ni mfupi kanyagia vidole wakati wa kutembea.
Kuwa na majibu mkato na sio kujizungusha kwenye kujibu.
Na ukiona askari umeingia kwenye mtego wao usiku usiogope, wakikuuliza wajibu short cut, usiogope wala usitetemeke. Hizo mbinu mi zimenisaidia sana TEMEKE yote nishaimaliza usiku.
Usipende kutembea usiju ukiwa umevaa sandals, pendelea kuvaa raba za karate (yaani zile raba zisizo ya nyuzi za kufungia)kwa wenye uelewa hata kama ni kibaka kidogo wakiona hizo raba wanajua nini namaanisha.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kwa wanaume mbinu hii inatufaa sana.
Vipi kwa upande wa pili???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa noma
 
Kwa mdada mbali na mbinu zote kwanza awe amevaa kipensi cha jinzi ndani.
 
Ahsante mkuu kwa mbinu zako.
Ila mimi mbinu yangu ni KIDONO/KINKUTI
hiyo hata unipige bisu la tumbo hakiingii. Watu wa mwambao wa ziwa nadhani wanajua hiyo kitu
Hafu ukiwa na hiii kitu, unakuwa kama nusu komando.
Am simple in figure but complex in action,
Ni miongoni mwa wale tulopewa mkono wenye mfupa mmoja nilichanjwa hayo madude sasa najuta.
Niliwahi kukabwa mitaa fulani kilichotokea hata mimi najuta nilkusanya kikunde ndani ya sekunde wako hoi hafu kinkuti kikasimama dede. Kibaya zaidi alikuwemo mtu wangu wa karibu, niliwahi kuitwa jambazi kwa sababu ya hivi vitu mkuu.
Ushauri kama unajua unavyo na hamna mtu wa kukutuliza asee usiviamshe, waache wapige visu vyao wewe ujiendee tuu, hivi vitu kuua ni dakika sifuri.

Nasema utaitwa muuji mda usio ujua asee.
 
Kitu kizuri sana hicho mkuu.
Ukiwanacho hizo mbinu zako zote hutazitumia kabisa maana unaweza pifa hata difenda mbili za wajida na husikii kuchoka wala maumivu
Mkuu hili ni tatizo, niliwahi pambana na difenda la polisi, bahati nzuri waliuelewa mchezo akaitwa mtu anaenifaham mkuu,
Tatizo mi hua naumka mkuu[emoji35] [emoji35]

Nishatafuta mbinu za kuvitoa lakini niliambiwa njia moja tuu ya kutuliza akili,
Labda wwnzangu mnisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…