Njoo Tupeane Mbinu Za kuwakwepa Vibaka

Vunja miiko nadhani kuna miiko ulipewa.
Anza kula bamia na milenda uone
Kaka mimi siijui hata miiko yenyewe, kwani katika maisha yangu, bamia, mlenda na akila aina ya chakula mi nakula, lakini tatizo ndio hivo lipo palepale,
Niliambiwa ni vya kuchanfanywa mpaka aviharibu alievutengeneza
 
hahahahaha kiongozi umenikumbusha mbali sana njia tulizokuwa tunatumia ss na hakuna hata moja ilo feli zimetusaidia sana
1 tulikuwa na kiredio kidogo kilikuwa kinatoa sauti kweli tulirekodi sauti tuliibatiza afande mzoefu yan unaiplay unajijibu mwenyew (afande report over unastopisha unalitaja eneo ulilopo,eneo ni shwar tupo kamili vijana tunapiga kazi over endelee kuhakikisha usalama na mtoe report kila baada ya dk 5 nimekupata afande over) hii inafanya kazi 100% ukiitumia hii njia jaribu kutembea pole pole kama unapiga doria kweli vjana walikuwa wananipisha na kutokomea
2 tulikuwa tumetengeneza baruti kwa kutumia spoku ya pikpiki isee ilikuwa inaimba ikiipiga inaimba baaalaa tukawa tumechonga kiubao kama pistor tukaweka kibetri kwa mbele then kibomba hv vya kufanyia wiring mle kwenye kile kichwa cha spoku mnajaza zile spark za kberiti then unagandamiza na msumali wa saize nyuma kwenye kile kibomba mnafunga kimpira ambao utaufanya msumari wa kwenye spoku kugota kwenye betri la mbele ukivuta ile spoku ule msumali ukigota kwenye betri asee ata nzi atabadili uelekeo trust me hii njia ni ya kitoto lakini ni mo efficient huna tofauti na mtu mwenye bastola
3 tukikuwa na vibaka tunawafahamu kitaa ndo ilikuwaga escout yetu tukiwa tunatoka sehemu usiku lazima tuwataarifu wanakuja kutupa escout au wanasafisha njia walikuwa wanajuana wapigiana simu tunakuta njia nyeupe hao hii ilitusaidia pia home ilikuwa hakuna kuibiwa koz wote tuliwafahamu
 
Ndiyo maana hua sipendi ugomvi maana kuna wengine mmechanjia ugomvi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kama wewe ujui chochote kuhusu self difence na hujui lolote unapokutana na vibaka usiku wakikwambia usiku ,jibu usiku ,usijibu mchana ,wakikwambia mchana kama ni mchana waambie mchana ukijibu tofauti ndio utajua kwanini Ngarenaro ni kubwa kuliko Arusha
 
Pole.
Hiyo ni mbaya zaidi au ulitaka uwe kama wakina Hubhanya.
Jiepushe na kuchukizwa au tembelea kwa watalamu wakusaidie..
Nimeshaenda zaidi naambiwa napaswa niwe mpole na nijiepushe na mazingira yanayoweza sababisha ugomvi. Na hasa nimeambiwa nitumia hisia zaidi kuwasiliana na akili kitu ambacho kina nipa ugumu mkuu, niliambiwa niwe natuliza hasira yangu kwa kuchezesha masikio kwa kutumia mshipa mkuu. Hua najurahidi lakini nikikutana na hawa watu vibaka hua nakubali kichapo, sasa mbaya ni pale napowambia wanazani nawatisha, mkuu sio siri hua mpaka najiogopa.
Hali hii imenifanya mpaka nikafukuzwa jeshini wakati nimeenda jkt, japi sijufukuzwa kivile, ila maneno tuu yalidhihilisha kuwa hawajuridhishwa na jinsi nilivyo. Waliniambiwa kumiliki mkono wenye mfupa mmoja hili linamfanya mtu apate hadhi kubwa sana jeshini lakini kwa kuobgezea na hayo huwa ni tatizo mkuu
 
Daaah pole sana. Lkn usikate tamaa mkuu endelea kuzunguka kwa wataalamu. Ujuzi umezidiana.
Nilienda mpaja shinyanga huko kunako aminika lakini wao ndio walinikatisha tamaa asee niliambia za kiha hutibiwa na muha mwenyewe au mkongo

Nikaambiwa kwamba mchawi wa muha ni muha mwenzake
 
Dah mkuu umenivunja mbavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaani kwetu kuna vibaka sana mimi nilikoswa mara ya kwanza sasa hivi uwa usiku uwa napita na cheni yangu naweka mfuko wa nyuma ukinisimamisha fresh tu ila kinachofuata utajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Safi sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakumbuka mwaka 90
Tandika maeneo ya mango village nilichelewa sehemu... Nikapita mtaa mmoja maarufu hapo tandika saa sita usiku mateja walikuwa wananifuatilia nyuma yangu hatua kama 20 hivi wanilie timing wanikabe.

Nikawastukia nikaenda nyumba ya jirani hapo hapo mtaani... Wenyewe Walikuwa wamefunga milango wamelala ndani wenyeji.

Nikawagongea mlango huku naita Said said Fungua mlango nipo nje hapa [emoji23][emoji23][emoji23] Wale vibaka wakapita alafu ni mateja walikuwa kama 10 hivi...
Nikanusulika nikashangaa kwenye baraza ya ile nyumba kama dakika kumi nilivyohakikisha wameondoka na kupotea eneo la tukio na mimi nikapata upenyo wa kuondoka

Wakati huo naishi tandika Maguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah si mchezo
 
napenda sana baruti,,, ipo sku ntazitengeneza tena. tumezichezea sana utoton hz baruti asee zinalia knyama mzee
 
daa kuna kipindi nilichelewa kirud kwa amko keko nilikua natoka kwa mamkubwa k-nyama, nlipitia kkoo mida ya saa5 kutoka kkoo mpaka keko nlikosa gar ikabid nitembee, kufika karibia na mataa ya keko kwenye lile daraja la treni nkaona njemba zinanivizia, salama yangu nikaona nijifanye kama wao, nikavua shati nikaweka begani suruali nikakunja mguu mmoja nikafika home shwari mpaka wenyeji wakashangaa nimefikaje fikaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…