Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Kiboko nilichanjwa miksa ya kongo na kigoma na alienichanja kashafariki,najuta mkuuNi dawa ya kuchanja.
Inapatikana kigoma na kongo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboko nilichanjwa miksa ya kongo na kigoma na alienichanja kashafariki,najuta mkuuNi dawa ya kuchanja.
Inapatikana kigoma na kongo tu.
Kaka mimi siijui hata miiko yenyewe, kwani katika maisha yangu, bamia, mlenda na akila aina ya chakula mi nakula, lakini tatizo ndio hivo lipo palepale,Vunja miiko nadhani kuna miiko ulipewa.
Anza kula bamia na milenda uone
Nilishavunja mkuu lakini wapiiVunja masherti utau mke
Ndiyo maana hua sipendi ugomvi maana kuna wengine mmechanjia ugomvi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kaka hiyo kitu ni shidaaa
Kule kigoma ni maarufu sana kwa hii siraha
Unaumka na mwili unaicha akili kando, mpaka unachofanya ukirudi hali yako mkuu unajuta, unaweza kuta wote ni malehemu hafu hukumbuki kilichotokea mkuu.
Najuta kumiliki hii siraha mkuu.
Nimeshaenda zaidi naambiwa napaswa niwe mpole na nijiepushe na mazingira yanayoweza sababisha ugomvi. Na hasa nimeambiwa nitumia hisia zaidi kuwasiliana na akili kitu ambacho kina nipa ugumu mkuu, niliambiwa niwe natuliza hasira yangu kwa kuchezesha masikio kwa kutumia mshipa mkuu. Hua najurahidi lakini nikikutana na hawa watu vibaka hua nakubali kichapo, sasa mbaya ni pale napowambia wanazani nawatisha, mkuu sio siri hua mpaka najiogopa.Pole.
Hiyo ni mbaya zaidi au ulitaka uwe kama wakina Hubhanya.
Jiepushe na kuchukizwa au tembelea kwa watalamu wakusaidie..
Nilienda mpaja shinyanga huko kunako aminika lakini wao ndio walinikatisha tamaa asee niliambia za kiha hutibiwa na muha mwenyewe au mkongoDaaah pole sana. Lkn usikate tamaa mkuu endelea kuzunguka kwa wataalamu. Ujuzi umezidiana.
Dah mkuu umenivunja mbavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna haja ya kuvaa vest na jeans usiku,
Tupia kipapaa bila kusahau neck tai yako,
Ukifika vichocholoni kwa wahuni kunja suruali mpaka usawa wa magoti , kunja shati kisha vua tai ,anza kutembea ki alosto,
Ukivuka eneo la hatari kunjua shati na suruali kisha vaa tai yako,
Njia ya pili ni kutembea na kamanati pamoja na goroli, ukifika eneo husika hamna kuuliza wewe ni kushusha goroli tuu, baada ya sekunde kadhaa njia nyeupeeee
Kiaje mkuu,Dah mkuu umenivunja mbavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Safi sana mkuuSehemu nyingi nilizoishi ni uswazi, nitakachokwambia hapa ni uzoefu wa moja kwa moja kipindi cha utoto niliwahi kua kwenye kundi lililojiita Majani Unit (halipo tena hili kundi) lilikua na wanamuziki, vibaka, dancers na wapenda ugomvi.
Ukiwa kama mtembezi wa usiku unakua unajihatarisha kukutana na vibaka (siyo majambazi) lakini kuishi kwangu maeneo mbali mbali sijawahi kukabwa ingawa ni mtembezi mzuri tu wa usiku, ili kupunguza asilimia za kukabwa kuna mbinu zinaweza kukusaidia.
La muhimu ni kujitahidi kupunguza kumvutia kibaka akukabe, mvuto wa kukaba unaupunguza kwa kufanya haya.
1. Jinsi Unavyotembea
Mwendo wa kutompa mori kibaka akukabe ni ule wa kujiamini hatua ziwe ndefu lakini zisiwe za kuonesha kua una hamu ya kulipita eneo hilo kwa haraka. Usijitanue lakini onesha kua show ikianza hapa mtashindwa nyinyi.
Hua natembea nikiwa nimenyooka, macho yanatazama mbele na kuacha mikono iyumbe ila kiukakamavu.
2. Mavazi na Accesories zake
Usivae mavazi kama unaenda kufanya shooting halafu ni usiku, unatafutia watu dhambi. Wala nguo isiwe na nembo ambayo inaonekana dhahiri, hata viatu visiwe vya kutamanisha. Kama ni simu epuka kuitumia ikiwa na mwanga mkali au usiitumie kabisa.
Nashauri vaa pensi na shati/ vest haswa hizi vest za siku hizi zinakua kubwa kushinda mwili wa mhusika.
3. Kama unavuta sigara au bangi, tembea huku ukivuta. Kama hauvuti nunua kimoja wapo ukiwa unatembea onekana kama unavuta, ila unaweza kukutana na sungusungu ukiwa na bangi hivyo jipange kwa majibu pia.
4. Jinsi unavyoongea. Kama ukiongea una lafudhi zinazoonekana ni za kinyonge huku sauti yako ikiwa haina uzito wowote nashauri usitembee kabisa usiku.
Mfano hayo yote yamefanyika na bado vibaka wakakufuata?
Naassume haumiliki bunduki, pia naassume hauna mazoezi ya ngumi, nashauri onesha kua hautaki ugomvi na unataka suluhu hivyo ukisalimiwa itika, ukisimamishwa simama, jibu utakachoulizwa.
Jua kwamba dakika 1 kwenye ugomvi ni nyingi sana zikizidi na huna mazoezi pumzi itakuishia utaaibika, Ikiwa ugomvi utaanza tumia sekunde 30 za kwanza vizuri kwa kurusha ngumi jichoni, kutumia mawe, kutumia kichwa (kichwa piga kuanzia usawa wa pua kuja chini mdomoni), au teke la korodani.
Sekunde 30 zinazofuata ni za wewe kutoka mbio, mbio kama vile maisha yako yameshikiliwa na hizo mbio (ndiyo maana nikasema vaa pensi na vesti).
Mwisho wa yote epuka kuzurura na mwanamke usiku, hua wanatia uzito sana, na pia ni aibu kukimbia mbele ya mwanamke.
Lete mbinu zako mdau.
Hahahah si mchezoMimi nakumbuka mwaka 90
Tandika maeneo ya mango village nilichelewa sehemu... Nikapita mtaa mmoja maarufu hapo tandika saa sita usiku mateja walikuwa wananifuatilia nyuma yangu hatua kama 20 hivi wanilie timing wanikabe.
Nikawastukia nikaenda nyumba ya jirani hapo hapo mtaani... Wenyewe Walikuwa wamefunga milango wamelala ndani wenyeji.
Nikawagongea mlango huku naita Said said Fungua mlango nipo nje hapa [emoji23][emoji23][emoji23] Wale vibaka wakapita alafu ni mateja walikuwa kama 10 hivi...
Nikanusulika nikashangaa kwenye baraza ya ile nyumba kama dakika kumi nilivyohakikisha wameondoka na kupotea eneo la tukio na mimi nikapata upenyo wa kuondoka
Wakati huo naishi tandika Maguruwe
Sent using Jamii Forums mobile app
napenda sana baruti,,, ipo sku ntazitengeneza tena. tumezichezea sana utoton hz baruti asee zinalia knyama mzeehahahahaha kiongozi umenikumbusha mbali sana njia tulizokuwa tunatumia ss na hakuna hata moja ilo feli zimetusaidia sana
1 tulikuwa na kiredio kidogo kilikuwa kinatoa sauti kweli tulirekodi sauti tuliibatiza afande mzoefu yan unaiplay unajijibu mwenyew (afande report over unastopisha unalitaja eneo ulilopo,eneo ni shwar tupo kamili vijana tunapiga kazi over endelee kuhakikisha usalama na mtoe report kila baada ya dk 5 nimekupata afande over) hii inafanya kazi 100% ukiitumia hii njia jaribu kutembea pole pole kama unapiga doria kweli vjana walikuwa wananipisha na kutokomea
2 tulikuwa tumetengeneza baruti kwa kutumia spoku ya pikpiki isee ilikuwa inaimba ikiipiga inaimba baaalaa tukawa tumechonga kiubao kama pistor tukaweka kibetri kwa mbele then kibomba hv vya kufanyia wiring mle kwenye kile kichwa cha spoku mnajaza zile spark za kberiti then unagandamiza na msumali wa saize nyuma kwenye kile kibomba mnafunga kimpira ambao utaufanya msumari wa kwenye spoku kugota kwenye betri la mbele ukivuta ile spoku ule msumali ukigota kwenye betri asee ata nzi atabadili uelekeo trust me hii njia ni ya kitoto lakini ni mo efficient huna tofauti na mtu mwenye bastola
3 tukikuwa na vibaka tunawafahamu kitaa ndo ilikuwaga escout yetu tukiwa tunatoka sehemu usiku lazima tuwataarifu wanakuja kutupa escout au wanasafisha njia walikuwa wanajuana wapigiana simu tunakuta njia nyeupe hao hii ilitusaidia pia home ilikuwa hakuna kuibiwa koz wote tuliwafahamu