Wapo wengine wanapita kimya kimyaWale ambao lugha ya kingereza iligoma kupanda vichwani mwetu tunapita kimya kimya kama tunaaga maiti .
Ila tutakuja kusema ni utapeli soon
Na kiswahili kipo ila sasa maswali mengi mno 668 yote hayo wanalipa kwa coin then unaziexchqnge kutumia metamask kuwa usdWale ambao lugha ya kingereza iligoma kupanda vichwani mwetu tunapita kimya kimya kama tunaaga maiti .
Ila tutakuja kusema ni utapeli soon
Nilijua tu utaleta kiherehere,sasa nioneshe hela uliyoingiza baada ya kukusanya hizo coins,ulijua umeleta breaking news sio?We sema hujui
Claimer tuone au kutengeneza usdc wallet hujui?Nilijua tu utaleta kiherehere,sasa nioneshe hela uliyoingiza baada ya kukusanya hizo coins,ulijua umeleta breaking news sio?
Wastage of time View attachment 3533242
Hivi review inachukua muda gani??Nilijua tu utaleta kiherehere,sasa nioneshe hela uliyoingiza baada ya kukusanya hizo coins,ulijua umeleta breaking news sio?
Wastage of time View attachment 3533242
Mkuu kusanya kwanza hizo coins ndio utajuaClaimer tuone au kutengeneza usdc wallet hujui?