Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake.

Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini.

Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye.

Amefanya na hao jamaa miaka mi 5 na ndoto zake ni kufungua kampuni yake.....kama hio na sio kutanga Tanga.

Wasiwasi wake anaogopa kwenda kwenye other organizations aanzie ku scratch kujifunza na ku odopt organization calture ingine.

Swali lake aendelee hapo alipo akijipanga kufungua kampuni yake au aende kufanya kazi kwenye kampuni nyingine aliyo pewa ofa kubwa?

Mimi nimemwambia aendelee hapo hapo huku akijipanga kufungua kampuni yake.

Ushauri wako ni muhimu sana Kwa Huyu JAMAA angu?
Don't fix it if its not broken
 
Kama hajafikia maamuzi mwenyewe na anategemea ushauri, mwambie akae hapo hapo.

Kujiajiri ni wito na kamwe sio matako ambayo kila mtu anayo, akae atuliw kwenye ajira..

Ukiona mtu anataka ushauri kuhusu wito wa kujiajiri ujue ajafikia kujiajiri, mwambie asithubutu.
 
Tafuta connection...then kua mtiifu sana ujifunze....then copy & paste even in small scale.

Leo nilipata wasaa wa kuonana na kaka angu Mentor wangu hapa town.

Ni mdau 🤓 humu JF ila hatuambianagi majina tunayo yatumia hapa😃😃😊😊

Tumejadil mambo ya teuzi kidogo

Aliwai kuniuliza au wew ndio bigsam

Ili tubadilike tunaitaji tubadilike kuanzia ndani yetu jinsi tunavyo fikiri.

Mimi sio motivation spiker
Weka. Nyama mkuu
 
Mpe connection ya ajira au mchongo, huyo anatafuta first step wewe unaongea nae kama tayari yupo 7 step. Mwanzo mgumu huyo yupo level ya nitoke vipi
Juzi kati Kuna nyuzi ya nyimbo za zamani hapa hapa JF.....
nilichek wimbo wa Binti mlokole By Father G.....
wimbo wa sikumbuki jina unaitwa SINA DEMU....
Na mwisho wimbo wa bwana misosi- nitoke vp?
Kwenye video bwana misosi ana andika na kufuta..mara anachana karatasi...Nitoke Vp 🤓🤓😊😊
 
Kama hajafikia maamuzi mwenyewe na anategemea ushauri, mwambie akae hapo hapo.

Kujiajiri ni wito na kamwe sio matako ambayo kila mtu anayo, akae atuliw kwenye ajira..

Ukiona mtu anataka ushauri kuhusu wito wa kujiajiri ujue ajafikia kujiajiri, mwambie asithubutu.
😊 Nimecheka kama mazur kwel wito wakujiajir sio Kwa watu wotee
 
Back
Top Bottom