Nyongeza : Ndoto hizi nilianza kuota toka nilipoenda kwa mganga. Ndoto ile ya kumkamata MTU na kumuuliza na yeye kumtaja mtu ( mjomba) wa nyumbani tena kwa jina inanisumbua mpaka leo hii . Ndoto ya yule Dada aliyekuwa kabeba jeneza na mdogo wake na kuniambia sitakuja kumpata mwanamke aliyetulia ..hapa naomba niongeze kitu.Nilikuwa na mahusiano na Dada fulani mle ofisini ambaye baadae tulikuja kuachana katika mazingira ambayo sikuyaelewa mpaka Leo na huenda ile ndoto ilimaanisha kitu
Na kuna kobra wengi sana, hadi ilikuwa inakatazwa kutembea mwenyewe. Ukikutwa unaweza pigwa, unaulizwa ukigongwa na nyoka atakusaidia nani?Kwa msange kulee tumelima sana migombaa...
Hilo hiloo mzeee...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na kuna jamaa alikuwa Mchungaji ana kasauti mzee anapisha kwata yani jamaa anajua sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulikuwa combania gani????[emoji3][emoji3] lilikua Jeusi hivi mkuu, kurya...Nalkumbuka vzuri kila Jumatatu uwanja wa Damu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kuna mwingine wakuitwa machachali huyo.akiwa kombania moja utaomba poo[emoji3][emoji3] lilikua Jeusi hivi mkuu, kurya...Nalkumbuka vzuri kila Jumatatu uwanja wa Damu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]nilkua Bcoy mkuu, mujbu wa sheria 2015Hilo hiloo mzeee...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na kuna jamaa alikuwa Mchungaji ana kasauti mzee anapisha kwata yani jamaa anajua sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulikuwa combania gani????
Nilikuwa B coy 2014 na afande shija
Jf huwezi choka kuna mambo mengi aiseKanole alikuwa hasemi kitu aiseee... Kuna yule mweusi mrefu hiviii alikuwa anapenda kusema Ngurutuu mnaharisha sababu mnakulaaa maviiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila ukisema huamini ama hayapp kwasababu hayajakukuta ama kukutokea sio hoja mkuu kwamaana kila kisichokutokea ama kukukumba nikwamba hakipo ?!hadi sasa bado sikubaliani na hizi mambo..
Najaribu kuamini akili inagoma kabisa.
kwanini wengine hatukutani na vitu vyenye taswila hii?.
Sent using Jamii Forums mobile app
demu alinipenda sana kuna vitu alivifanya kwa ajili yangu akiamini nitamuoa lakin nilimkimbia nikawa namuogopa tu bila sababu, na usiku nilikuwa akiita jina langu kama mtu mwenye huzuni hivi
Relax mkuu sijamkuta bikra alomtoa bikra ndo alomwaribia maisha,na alishaolewa .Huna hata aibu kumharibia Mwenzio maisha yake kisha unajitia ooh kaniroga! Hivi ushawahi jiuliza baada ya kumuacha alipatwa na mitihani gani? Aliolewa na nani? Malipo hapahapa duniani, Tubu na umrudie Mungu wako.
Na mimi sijui nini kilinipata,hata mimi nilikuwa nampenda sana lakini ghafla nikawa namuogopa nikimuona moyo unapasuka kama mwizi kaona defender, kama hajaniona nabadili njia ili nisikutane nae nakama hakuna chochoro basi najifanya nna haraka sana namsalimia halafu kama kuna kitu nawahi.Huna hata aibu kumharibia Mwenzio maisha yake kisha unajitia ooh kaniroga! Hivi ushawahi jiuliza baada ya kumuacha alipatwa na mitihani gani? Aliolewa na nani? Malipo hapahapa duniani, Tubu na umrudie Mungu wako.
Miaka ya nyuma baada ya kumtibu ndugu yetu mmoja ikashindikana kupona ndipo mganga aliposema inabidi tuwaite wachawi waliomroga ili watuonyeshe dawa mana kwangu imeshindikana tukaa kama wanafamilia tukakubaliana na maneno ya mganga siku ya siku imefika tukabeba mgonjwa mpk makabulini na mganga nakumbuka ilikuwa saa 8 usiku tumefika pale mganga akaanza mambo yake mara akachukua filimbi akapiga mara 3 tukaanza kuona mauza mauza mganga akatwambia mnapaswa msiogope hiyo dawa niliyowapaka ni ya kuona wachawi ambao wamefanya hili jambo ila iwe siri yenu na watakachotaka muwatimizie ili tusijenge vita mimi na wao kweli bana akaanza kutokea paka anageuka kuwa mtu mara ndege anakuja pale anageuka na kuwa mtu yani siku hiyo niliona kila aina ya vitwimbwi ghafla wakawa watu kama 10 hivi na kila mmoja amekuja kwa style yake wakatuuliza tumewaitia nini mganga akawaeleza shida yetu watuonyeshe dawa ya kumtibu fulani tyliye naye pale dah ila wachawi wana maneno ya kejeli yani tulitumia kama lisaa mpk kuelewana na kiasi walichokitka tukawapa nusu siku hiyo wakamuonyesha mganga dawa ya hilo tatizo ndio kupona kwa ndugu yetu ila nilipomuuliza yule mganga kwanini imetubidi tuwaite wale wachawi alisema mchawi hata uwe mganga wa aina au mtu wa aina gani wakikuamulia wakumalize hawashindwi bila kujali una imani au huna.Nyingine ni ktk utafutaji ridhiki hapo ndio nilikuja kuona duniani kuna viumbe tunaishi navyo bila sisi kujua
Relax mkuu sijamkuta bikra alomtoa bikra ndo alomwaribia maisha,na alishaolewa .
Na mimi sijui nini kilinipata,hata mimi nilikuwa nampenda sana lakini ghafla nikawa namuogopa nikimuona moyo unapasuka kama mwizi kaona defender, kama hajaniona nabadili njia ili nisikutane nae nakama hakuna chochoro basi najifanya nna haraka sana namsalimia halafu kama kuna kitu nawahi.
Haya asante sana.Ooh hapo nimekuelewa. Nilitafsiri vibaya comment yako. Nway, jisomee hizo Sura za kutoa Sihri kama ulivoelekezwa. Kuwa na Imani utashinda huu mtihani. Ukiweza fululiza kuswali usiku mida ya saa 9.
Yah hiyo ya kwanza naiamini manake alishawahi nipa vikaratas nivichome kwenye moto vimeandikwa kiarabu maandishi mekunduHuenda kumpenda kwako haikua akili yako ndomana baadae dawa zilivo expire ulikua hujielewi hisia zako, au pengine na ww ulikua una tatizo... Inshallah utapona.