las Casas
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 575
- 720
Nyongeza : Ndoto hizi nilianza kuota toka nilipoenda kwa mganga. Ndoto ile ya kumkamata MTU na kumuuliza na yeye kumtaja mtu ( mjomba) wa nyumbani tena kwa jina inanisumbua mpaka leo hii . Ndoto ya yule Dada aliyekuwa kabeba jeneza na mdogo wake na kuniambia sitakuja kumpata mwanamke aliyetulia ..hapa naomba niongeze kitu.
Nilikuwa na mahusiano na Dada fulani mle ofisini ambaye baadae tulikuja kuachana katika mazingira ambayo sikuyaelewa mpaka Leo na huenda ile ndoto ilimaanisha kitu
Nilikuwa na mahusiano na Dada fulani mle ofisini ambaye baadae tulikuja kuachana katika mazingira ambayo sikuyaelewa mpaka Leo na huenda ile ndoto ilimaanisha kitu