Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Inabidi nimhoji aiseeh...hakunidhuru
Hiyo ni nguvu ya mesmerism na hypnotism, huyo bila shaka ulikuwa naye palepale akikucheka kimoyomoyo pindi ulipokuwa ukihangaika kumtafuta.🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi nimhoji aiseeh...hakunidhuru
Mhh alijificha wapi..? Inabidi kesho ndo anielezeHiyo ni nguvu ya mesmerism na hypnotism, huyo bila shaka ulikuwa naye palepale akikucheka kimoyomoyo pindi ulipokuwa ukihangaika kumtafuta.🤣
AiseeNilikua nipo kwenye mood ya kumasturbate yaani nilikua natafuta uzi wa mwisho kabla sijaingia xvideos sasa nimefika hapa na xvideos siendi leteni visa niburudike.
Hahaha kweli 835kj unaifahamu. Kale kauwanja kabla hujafika hospital hakatumiki sasa hivi. Kiufupi hayo mambo yapo vikosi vingi. Ukipangiwa sehemu we kuwa mpole tu na kuwaheshimu wale uliowakuta especially the other ranks Ssgt's na WO's hao ndio wazee wa vikosi. Mi nilihamishiwa pale 2015-19 now nipo sehemu nyingineNimesha msahau kuna mzee mmoja iv alitupigisha kwata ya mwisho kwa macho alikuwa mpole ila maafande walikuwa wanasema uyo mzee ni hatari
Afu wakati tunaingia kikosini kunaafande mmoja iv ni masai, alivotoka kazini kufika kwenye mrango wakea akaona kuna wali umemwagwa kama kuna watu wametoka kula chakula iv (kumbe wachawi washamlia wali ) masikini mzee wa watu hakuchukua mda akafariki
Afu tukio la kuwaka moto hapa jilani na main gate kuna uwanja mbele kidogo kuna msikiti kama unaenda hospital iv
Kwahiyo alikuwa jini?Hiyo ni nguvu ya mesmerism na hypnotism, huyo bila shaka ulikuwa naye palepale akikucheka kimoyomoyo pindi ulipokuwa ukihangaika kumtafuta.🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] daah noma sana aisee,nimekaa hapa katika kona na stuli na jiwe naona bado,sijui wamenishtukia au sijakaa fresh,kuna mother ana shape wanasema ni mkali wa hizo mambo,akija kinyume nyume sirushi jiwe na enjoy tu
Pia nilisikia kuwa ukiweka mwiko uliosongea ugali usiku chini ya mto unaolalia. ( usiuoshe mwiko ) usiku wachawi wakija kufanya yao unawaona. ..Unakaa kwenye kona kwa nje au kwa ndani, na nikiwaona halafu nikasepa inakuwaje kabla hawajarudi?
@Drat nasikia wachawi wengine wakikujua kuwa umewaona na kuwajua hukufanyia kitu kibaya sana. .wengine hukufanya zezeta bubu au kukupa fuata macho nakazalika nakazalika so instegemea. ...usithubutu kama huna kinga yakutoshaHahah nimegundua wewe Mwoga, usijaribu kama hauna moyo, mimi binafsi sikurudia na sitarudua mchezo huo
Nb: Unakaa kwenye kona nje ya nyumba.
Una bahati ulikuwa bado mtoro huyo mrefu alokuwa anakufata nyuma huwa mshenzi sana sema haui ila huwa anasumbua balaaa. Hapendi kukimbiwa. Ukimkimbia imekula kwako, we akija jifanye humuoni ikiwezekana kaa chini ama lala chini ili apite. Ila komesha yake vua nguo zote utembee uchi ama vaa kwa mtindo huu. Anzia chupi igeuze nje ndani halafu ivae mbele nyuma fanya hivo kwa nguo zote soks na viatu kulia kushoto. Halafu tembea kawaida tu hatakiona. Ungekuwa mtu mzima ungekimbia ukastuoia akili zinarudi upo kijijiji cha 8. Ndo ungejiuliza umefikaje huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Una bahati ulikuwa bado mtoro huyo mrefu alokuwa anakufata nyuma huwa mshenzi sana sema haui ila huwa anasumbua balaaa. Hapendi kukimbiwa. Ukimkimbia imekula kwako, we akija jifanye humuoni ikiwezekana kaa chini ama lala chini ili apite. Ila komesha yake vua nguo zote utembee uchi ama vaa kwa mtindo huu. Anzia chupi igeuze nje ndani halafu ivae mbele nyuma fanya hivo kwa nguo zote soks na viatu kulia kushoto. Halafu tembea kawaida tu hatakiona. Ungekuwa mtu mzima ungekimbia ukastuoia akili zinarudi upo kijijiji cha 8. Ndo ungejiuliza umefikaje huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nayo kuna mshikaj aliniambia dah kumbe kweli mi sikumamini,aliniambia mkewe huwa anaona usiku wanga kwaiyo walienda kwa mganga ili wawakate wawazalilishe,mganga akawaambia hao wana jeshi lao wakikuamulia hakuna mganga anayeweza kushindana nao mradi hawawadhuru basi waache tu tusiwachokoze,mi siwezi vita nwa wachawi na hakuna mganga anayeweza nimeamua kuwaambia ukweli tu sitaki hela zenu.
Jamaa tall hivi ukikutana naye nje ya majukumu ni mpole sana, ila akiwa kwenye majukumu hataki mzaha hata kidogo. Mwembamba
Kushoto kama unaenda main gateUnausemea uwanja uliyopo pembezoni mwa barabara kuu jirani na kilima cha kuelekea main gate. Au ule wa kushoto mkubwa. Ambao kwa mbele Kuna ofisi za utawala
Ndio jina ndo limekuja maisha haya banaHahahhah huyo huyo afande mmasai anaitwa akonayi
Aise kuna siku maafande walikuwa lindo ofisi za uku kama unaenda gendagenda (general ofice) usiku wa manane ukaanguka mfuko wa plastic afu ndani yake kuna wali wa moto kabisa kama ndo umetoka kupikwa saiv afu katikati kina buku mbili alichofanya afande moja akachomoa ile pesa akaitia mfukoni afu chakula wakazoa wakatupa porini, 835kj kuna mambo mengi sanaHahaha kweli 835kj unaifahamu. Kale kauwanja kabla hujafika hospital hakatumiki sasa hivi. Kiufupi hayo mambo yapo vikosi vingi. Ukipangiwa sehemu we kuwa mpole tu na kuwaheshimu wale uliowakuta especially the other ranks Ssgt's na WO's hao ndio wazee wa vikosi. Mi nilihamishiwa pale 2015-19 now nipo sehemu nyingine
We ulikuwa mujibu au wakujitolea?Aise kuna siku maafande walikuwa lindo ofisi za uku kama unaenda gendagenda (general ofice) usiku wa manane ukaanguka mfuko wa plastic afu ndani yake kuna wali wa moto kabisa kama ndo umetoka kupikwa saiv afu katikati kina buku mbili alichofanya afande moja akachomoa ile pesa akaitia mfukoni afu chakula wakazoa wakatupa porini, 835kj kuna mambo mengi sana
Tulia mkuu utuleteeNina mkasa mzito sana nitauweka humu japo ni mrefu sana. Jamani uchawi upo
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo umeamua kuongea matusi ili niache? Siachi
Me nilikuwa mujibu 2014 iyoWe ulikuwa mujibu au wakujitolea?