Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Hiyo ni nguvu ya mesmerism na hypnotism, huyo bila shaka ulikuwa naye palepale akikucheka kimoyomoyo pindi ulipokuwa ukihangaika kumtafuta.🤣
Mhh alijificha wapi..? Inabidi kesho ndo anieleze
 
Nimesha msahau kuna mzee mmoja iv alitupigisha kwata ya mwisho kwa macho alikuwa mpole ila maafande walikuwa wanasema uyo mzee ni hatari
Afu wakati tunaingia kikosini kunaafande mmoja iv ni masai, alivotoka kazini kufika kwenye mrango wakea akaona kuna wali umemwagwa kama kuna watu wametoka kula chakula iv (kumbe wachawi washamlia wali ) masikini mzee wa watu hakuchukua mda akafariki
Afu tukio la kuwaka moto hapa jilani na main gate kuna uwanja mbele kidogo kuna msikiti kama unaenda hospital iv
Hahaha kweli 835kj unaifahamu. Kale kauwanja kabla hujafika hospital hakatumiki sasa hivi. Kiufupi hayo mambo yapo vikosi vingi. Ukipangiwa sehemu we kuwa mpole tu na kuwaheshimu wale uliowakuta especially the other ranks Ssgt's na WO's hao ndio wazee wa vikosi. Mi nilihamishiwa pale 2015-19 now nipo sehemu nyingine
 
Hiyo ni nguvu ya mesmerism na hypnotism, huyo bila shaka ulikuwa naye palepale akikucheka kimoyomoyo pindi ulipokuwa ukihangaika kumtafuta.🤣
Kwahiyo alikuwa jini?
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23]

Cc Smart911
[emoji23][emoji23][emoji23] daah noma sana aisee,nimekaa hapa katika kona na stuli na jiwe naona bado,sijui wamenishtukia au sijakaa fresh,kuna mother ana shape wanasema ni mkali wa hizo mambo,akija kinyume nyume sirushi jiwe na enjoy tu
 
Unakaa kwenye kona kwa nje au kwa ndani, na nikiwaona halafu nikasepa inakuwaje kabla hawajarudi?
Pia nilisikia kuwa ukiweka mwiko uliosongea ugali usiku chini ya mto unaolalia. ( usiuoshe mwiko ) usiku wachawi wakija kufanya yao unawaona. ..
Au ukichukua sindano 7 na limao 1 zile sindano ukazichomeka kwenye limao pande zote kisha ukatupa kwenye eneo la wazi karibu na kwako / kwenu usiku wazeiya wakija kufanya yao unawaona
Hahah nimegundua wewe Mwoga, usijaribu kama hauna moyo, mimi binafsi sikurudia na sitarudua mchezo huo

Nb: Unakaa kwenye kona nje ya nyumba.
@Drat nasikia wachawi wengine wakikujua kuwa umewaona na kuwajua hukufanyia kitu kibaya sana. .wengine hukufanya zezeta bubu au kukupa fuata macho nakazalika nakazalika so instegemea. ...usithubutu kama huna kinga yakutosha

Cc Smart911
 
Aiseee kumbe kweli!

Nilisikia dawa nyingine ya wachawi na ma agent zao ni kufanya kila kitu kinyume

Cc Smart911
Una bahati ulikuwa bado mtoro huyo mrefu alokuwa anakufata nyuma huwa mshenzi sana sema haui ila huwa anasumbua balaaa. Hapendi kukimbiwa. Ukimkimbia imekula kwako, we akija jifanye humuoni ikiwezekana kaa chini ama lala chini ili apite. Ila komesha yake vua nguo zote utembee uchi ama vaa kwa mtindo huu. Anzia chupi igeuze nje ndani halafu ivae mbele nyuma fanya hivo kwa nguo zote soks na viatu kulia kushoto. Halafu tembea kawaida tu hatakiona. Ungekuwa mtu mzima ungekimbia ukastuoia akili zinarudi upo kijijiji cha 8. Ndo ungejiuliza umefikaje huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukigeuza nguo zote linapatwa nanini mkuu ? ?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]

Cc Smart911
Hiyo nayo kuna mshikaj aliniambia dah kumbe kweli mi sikumamini,aliniambia mkewe huwa anaona usiku wanga kwaiyo walienda kwa mganga ili wawakate wawazalilishe,mganga akawaambia hao wana jeshi lao wakikuamulia hakuna mganga anayeweza kushindana nao mradi hawawadhuru basi waache tu tusiwachokoze,mi siwezi vita nwa wachawi na hakuna mganga anayeweza nimeamua kuwaambia ukweli tu sitaki hela zenu.
 
Duu haya mambo Kama huyajawahi kukuta huwezi elewa hata chembe, utaona ni nadharia tuu, binafsi sijawahi shuhudia lolote la ajabu...

Japo Mazingira niliyoishi utotoni Yalikua na hayo mambo, na baadhi ya watu walikutana na hayo mapicha

Mzee wangu alisalimiwa na watu hawaoni akiwa anatoka tungi, ule ndio ukawa mwisho wa pombe,
Alifika nyumbani na kiatu kimoja..

Pia Tulishawahi ishi na dogo(sio mwana familia) Anayepandisha Mashetani, Kila akilala hata ni mchana akiamka kavuliwa shati na kachorwa mwilini na kwenye paji la uso(hii michoro na maandishi tunaona lakini akiwa inachorwa/andikwa huoni), Anaamka usiku anaenda porini,

Nilishaona mtu Anapasua nazi barabarani Maeneo Ya TCC Chang'ombe Kwenye ile Barabara Ya kuelekea Uwanja wa Taifa Chini ni chuo cha DUCE juu ni ile shure ya kihindi/arabu ya YEMEN..
Nilipomuona Alishtuka Akaniambia wewe umekwisha......

Kinyume na hapo sijawahi kushuhudia lolote la ajabu..
 
Hahaha kweli 835kj unaifahamu. Kale kauwanja kabla hujafika hospital hakatumiki sasa hivi. Kiufupi hayo mambo yapo vikosi vingi. Ukipangiwa sehemu we kuwa mpole tu na kuwaheshimu wale uliowakuta especially the other ranks Ssgt's na WO's hao ndio wazee wa vikosi. Mi nilihamishiwa pale 2015-19 now nipo sehemu nyingine
Aise kuna siku maafande walikuwa lindo ofisi za uku kama unaenda gendagenda (general ofice) usiku wa manane ukaanguka mfuko wa plastic afu ndani yake kuna wali wa moto kabisa kama ndo umetoka kupikwa saiv afu katikati kina buku mbili alichofanya afande moja akachomoa ile pesa akaitia mfukoni afu chakula wakazoa wakatupa porini, 835kj kuna mambo mengi sana
 
We ulikuwa mujibu au wakujitolea?
 
Back
Top Bottom