Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Miaka ya nyuma baada ya kumtibu ndugu yetu mmoja ikashindikana kupona ndipo mganga aliposema inabidi tuwaite wachawi waliomroga ili watuonyeshe dawa mana kwangu imeshindikana tukaa kama wanafamilia tukakubaliana na maneno ya mganga siku ya siku imefika tukabeba mgonjwa mpk makabulini na mganga nakumbuka ilikuwa saa 8 usiku tumefika pale mganga akaanza mambo yake mara akachukua filimbi akapiga mara 3 tukaanza kuona mauza mauza mganga akatwambia mnapaswa msiogope hiyo dawa niliyowapaka ni ya kuona wachawi ambao wamefanya hili jambo ila iwe siri yenu na watakachotaka muwatimizie ili tusijenge vita mimi na wao kweli bana akaanza kutokea paka anageuka kuwa mtu mara ndege anakuja pale anageuka na kuwa mtu yani siku hiyo niliona kila aina ya vitwimbwi ghafla wakawa watu kama 10 hivi na kila mmoja amekuja kwa style yake wakatuuliza tumewaitia nini mganga akawaeleza shida yetu watuonyeshe dawa ya kumtibu fulani tyliye naye pale dah ila wachawi wana maneno ya kejeli yani tulitumia kama lisaa mpk kuelewana na kiasi walichokitka tukawapa nusu siku hiyo wakamuonyesha mganga dawa ya hilo tatizo ndio kupona kwa ndugu yetu ila nilipomuuliza yule mganga kwanini imetubidi tuwaite wale wachawi alisema mchawi hata uwe mganga wa aina au mtu wa aina gani wakikuamulia wakumalize hawashindwi bila kujali una imani au huna.Nyingine ni ktk utafutaji ridhiki hapo ndio nilikuja kuona duniani kuna viumbe tunaishi navyo bila sisi kujua

Mliwapa nini hao wachawi mpaka wakakubali kuleta dawa ya kumtibu ndugu yenu?

Haya mambo kama movie vile dooh😄
 
hadi sasa bado sikubaliani na hizi mambo..
Najaribu kuamini akili inagoma kabisa.

kwanini wengine hatukutani na vitu vyenye taswila hii?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimekutana navyo baada ya kuhangaika sana na hasa kuuguza huyo ndugu yangu na mambo ya biashala zangu na kwenye biashala ndio nilikutana na mambo mengi sana
 
Mliwapa nini hao wachawi mpaka wakakubali kuleta dawa ya kumtibu ndugu yenu?

Haya mambo kama movie vile dooh😄
Kutokana na tukio lile nilichojifunza ni kuwa kuna mda wachawi wanaweza kukuloga ili wapate hela na nikajifunza kuwa kumbe wachawi huwa wanapata hela sana kupitia kuloga watu na kuwadai hela kingine ni kuwa unaweza kutafuta mchawi kumbe ni mtu wa karibu yako tu kwa yale niliyoyaona pale makabuli
 
That's ain't enough for you to believe in which craft. It could be an injured rat running in the roof or something else I guess. Ila mkuu uchawi upo mi nishaona
. It could be an injured rat running in the roof or something else I guess.

Hiki ndicho nilichokihisi na hadi leo ninaamini kuwa kuna kiumbe(kama unavyosema) panya, mjusi etc alilaluliwa na mwezie.

Lakini kilichokuwa kikinitatanisha ni pale nilipokuwa ninaangalia juu sioni kitu, ila matone yanaendelea kudondoka.

Nb: kuhusu uchawi kuwepo ni ngumu kumeza sana kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu ulijuaje hayo uliyoyaona kwamba ni uchawi na sio kitu kingine tu usichokijua?.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUO
Kwamba nione sio uchawi sidhani kwa sababu kwanza kwa mgonjwa yule tulihangaika sana kuanzia hospt walikuwa hawaoni kitu kila wakimpima ila tukahangaila sehemu kibao akaja kupona eneo hilo hapo tena baada ya kuonyeshwa hiyo dawa na hao wachawi .kingine kwenye biashala nadhani kama nikianza kuhadithia ni ishu nyingine kwa kweli na ni story ndefu sasa kwa mtu ambaye anasema haamini ni ngumu kumuaminisha ila mara nyingi nyie manosema hamuamini ndio wa kwanza kwenda hizo sehemu kuna mtu mmoja wa dini nilikutana naye sehemu sikuamini na heshima aliyonayo
 
Mimi kijijini kwetu katika mkoa wa Songwe kuna jamaa ni mtu wa kujituma kufanya kazi na ana biashara zake za kununua na kuchinja ng'ombe hivyo mshiko anao ambao umemwezesha kuwa na wake wanne.

Alinunua ng'ombe wa kisasa wa maziwa na kuwafuga ili familia yake isipate shida ya maziwa na kuongeza wigo wa mapato. Ngombe wake walipozaa alianza kuwa na mashaka na mwenendo wa utoaji maziwa wa ng'ombe wake maana kila wakienda kukamua mida ya saa kumi alfajiri wanakuta ng'ombe kesha kamuliwa hakuna maziwa, kwa mchana walipata maziwa kiasi shida hiyo alfajiri.

Jamaa akaona huu mchezo hatouweza akaenda kwa wataalamu wakampatia zindiko na kuzindika zizi la ng'ombe. Waliokuwa wanamfanyia mchezo mchafu walirudi tena wakidhani ni Kama walivyozoea ila wakaishia kunaswa mle zizini wakiwa watupu Kama walivyozaliwa. Tuliitwa kwenda kushuhudia na kuwakuta majirani wawili mwanaume na mwanamke wakiwa uchi wa mnyama hawawezi kuongea wala kutembea.

Mbele ya viongozi wa mtaa mwenye ng'ombe aliwatangazia msamaha kwamba wasirudie tena na kuamuru waondoke. Cha ajabu yule mwanamke hakuridhika alirudia tena mara hii alipigwa scud ya nguvu na kufia humo zizini akiwa uchi. Mpaka Sasa huyo jamaa hakuna anayejaribu kuharibu Mali zake hata mabinti zake wanaogopwa.
 
Mimi kijijini kwetu katika mkoa wa Songwe kuna jamaa ni mtu wa kujituma kufanya kazi na ana biashara zake za kununua na kuchinja ng'ombe hivyo mshiko anao ambao umemwezesha kuwa na wake wanne. Alinunua ng'ombe wa kisasa wa maziwa na kuwafuga ili familia yake isipate shida ya maziwa na kuongeza wigo wa mapato. Ngombe wake walipozaa alianza kuwa na mashaka na mwenendo wa utoaji maziwa wa ng'ombe wake maana kila wakienda kukamua mida ya saa kumi alfajiri wanakuta ng'ombe kesha kamuliwa hakuna maziwa, kwa mchana walipata maziwa kiasi shida hiyo alfajiri. Jamaa akaona huu mchezo hatouweza akaenda kwa wataalamu wakampatia zindiko na kuzindika zizi la ng'ombe. Waliokuwa wanamfanyia mchezo mchafu walirudi tena wakidhani ni Kama walivyozoea ila wakaishia kunaswa mle zizini wakiwa watupu Kama walivyozaliwa. Tuliitwa kwenda kushuhudia na kuwakuta majirani wawili mwanaume na mwanamke wakiwa uchi wa mnyama hawawezi kuongea wala kutembea. Mbele ya viongozi wa mtaa mwenye ng'ombe aliwatangazia msamaha kwamba wasirudie tena na kuamuru waondoke. Cha ajabu yule mwanamke hakuridhika alirudia tena mara hii alipigwa scud ya nguvu na kufia humo zizini akiwa uchi. Mpaka Sasa huyo jamaa hakuna anayejaribu kuharibu Mali zake hata mabinti zake wanaogopwa.
Duniaa ina mengi..

"Nilipokuwa mdogo ,Mama alinambia kuwa uone , binadamu wabaya na wenyee 🎶🎶🎶🎶🎶 ..

Mwenye anakumbukaa huu wimbo ,,unaitwaje ???
They are so fascinating mkuu😂
Sasa mkuu ulijuaje hayo uliyoyaona kwamba ni uchawi na sio kitu kingine tu usichokijua?.

Sent using Jamii Forums mobile app
That's ain't enough for you to believe in which craft. It could be an injured rat running in the roof or something else I guess. Ila mkuu uchawi upo mi nishaona
 
Kulikuwa na mauza uza gani na upande gani? bwawani, Kota, uwanja wa damu au mahangani? Wanakijiji wa komsanga, kodiwawala, gendagenda na chekereni hawana jipya wazigua wale..
Hahaahaha umenikumbuksha kitambo kile ..mahangani kulikua kunaibuka vitu vya ajabu .kule bwawani nako full mauza uza wanaokwenda gadi usiku
 
Miaka ya nyuma baada ya kumtibu ndugu yetu mmoja ikashindikana kupona ndipo mganga aliposema inabidi tuwaite wachawi waliomroga ili watuonyeshe dawa mana kwangu imeshindikana tukaa kama wanafamilia tukakubaliana na maneno ya mganga siku ya siku imefika tukabeba mgonjwa mpk makabulini na mganga nakumbuka ilikuwa saa 8 usiku tumefika pale mganga akaanza mambo yake mara akachukua filimbi akapiga mara 3 tukaanza kuona mauza mauza mganga akatwambia mnapaswa msiogope hiyo dawa niliyowapaka ni ya kuona wachawi ambao wamefanya hili jambo ila iwe siri yenu na watakachotaka muwatimizie ili tusijenge vita mimi na wao kweli bana akaanza kutokea paka anageuka kuwa mtu mara ndege anakuja pale anageuka na kuwa mtu yani siku hiyo niliona kila aina ya vitwimbwi ghafla wakawa watu kama 10 hivi na kila mmoja amekuja kwa style yake wakatuuliza tumewaitia nini mganga akawaeleza shida yetu watuonyeshe dawa ya kumtibu fulani tyliye naye pale dah ila wachawi wana maneno ya kejeli yani tulitumia kama lisaa mpk kuelewana na kiasi walichokitka tukawapa nusu siku hiyo wakamuonyesha mganga dawa ya hilo tatizo ndio kupona kwa ndugu yetu ila nilipomuuliza yule mganga kwanini imetubidi tuwaite wale wachawi alisema mchawi hata uwe mganga wa aina au mtu wa aina gani wakikuamulia wakumalize hawashindwi bila kujali una imani au huna.Nyingine ni ktk utafutaji ridhiki hapo ndio nilikuja kuona duniani kuna viumbe tunaishi navyo bila sisi kujua
Kitu kimoja ambacho watu wengi hawajui ni kuwa mganga nae ni mchawi na pale walikua tayar washapangana huko nyuma na hao wenzake ili ionekane imeshindikana lkn la...ni michezo ambayo waganga wengi wanacheza na usipokuwa na akili kubwa huwez ng'amua....lkn duniani hapa tunachezeana sn michezo lkn nguvu yao ni moja hata km watakuja trilion nae ni Mungu pekeee
 
Mimi nimekutana navyo baada ya kuhangaika sana na hasa kuuguza huyo ndugu yangu na mambo ya biashala zangu na kwenye biashala ndio nilikutana na mambo mengi sana
Lete hayo mambo ya kwenye biashara hapa jitahid hata kusimulia kwa code nadhan utaokoa wengi mana wengi bado wamefungwa
 
Kutokana na tukio lile nilichojifunza ni kuwa kuna mda wachawi wanaweza kukuloga ili wapate hela na nikajifunza kuwa kumbe wachawi huwa wanapata hela sana kupitia kuloga watu na kuwadai hela kingine ni kuwa unaweza kutafuta mchawi kumbe ni mtu wa karibu yako tu kwa yale niliyoyaona pale makabuli

Aisee pole sana mkuu najua hilo tukio lilikuvuruga sana kisaikolojia.
 
Mimi kijijini kwetu katika mkoa wa Songwe kuna jamaa ni mtu wa kujituma kufanya kazi na ana biashara zake za kununua na kuchinja ng'ombe hivyo mshiko anao ambao umemwezesha kuwa na wake wanne. Alinunua ng'ombe wa kisasa wa maziwa na kuwafuga ili familia yake isipate shida ya maziwa na kuongeza wigo wa mapato. Ngombe wake walipozaa alianza kuwa na mashaka na mwenendo wa utoaji maziwa wa ng'ombe wake maana kila wakienda kukamua mida ya saa kumi alfajiri wanakuta ng'ombe kesha kamuliwa hakuna maziwa, kwa mchana walipata maziwa kiasi shida hiyo alfajiri. Jamaa akaona huu mchezo hatouweza akaenda kwa wataalamu wakampatia zindiko na kuzindika zizi la ng'ombe. Waliokuwa wanamfanyia mchezo mchafu walirudi tena wakidhani ni Kama walivyozoea ila wakaishia kunaswa mle zizini wakiwa watupu Kama walivyozaliwa. Tuliitwa kwenda kushuhudia na kuwakuta majirani wawili mwanaume na mwanamke wakiwa uchi wa mnyama hawawezi kuongea wala kutembea. Mbele ya viongozi wa mtaa mwenye ng'ombe aliwatangazia msamaha kwamba wasirudie tena na kuamuru waondoke. Cha ajabu yule mwanamke hakuridhika alirudia tena mara hii alipigwa scud ya nguvu na kufia humo zizini akiwa uchi. Mpaka Sasa huyo jamaa hakuna anayejaribu kuharibu Mali zake hata mabinti zake wanaogopwa.
Yaaani nikipata hii dawa, nitafrahi sana maana kuna vidokozi wa mifugo ningewamaliza wote, tatizo upo ni mbali dah.
 
Nilipomaliza elimu ya msingi nikaenda pre form one shule fulani ya English medium ipo Njombe. Nilikuwa bweni na nilisoma hapo kwa miezi mitatu. Bweni nililokuwa nalala lilikuwa limepakana na makaburi kwa kutenganishwa kwa uzio wa mabanzi.

Mbele ya bweni kulikuwa na uwanja ambao paliwekwa bembea nyingi kwa ajili ya watoto kucheza nyakati mbalimbali. Siku moja nikiwa na mwenzangu tulitoka usiku wenzetu wakiwa wamelala tukaenda chooni. Wakati tunarudi zile bembea zote zilikuwa zimetulia, ghafla bembea mbili zikaanza kucheza Kama vile Kuna mtu anabembea.

Zilifanya hivyo kwa muda mrefu huku bembea nyingine Kama kumi na tano hivi zikiwa zimetulia. Ilikuwa ajabu Sana! Tulikimbia tukaenda kulala asubuhi tukawasimulia wenzetu, kumbe Kuna wengine Kama watatu hivi nao wamewahi kushuhudia tukio Hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio st.beNedict apo man
 
Miaka ya nyuma baada ya kumtibu ndugu yetu mmoja ikashindikana kupona ndipo mganga aliposema inabidi tuwaite wachawi waliomroga ili watuonyeshe dawa mana kwangu imeshindikana tukaa kama wanafamilia tukakubaliana na maneno ya mganga siku ya siku imefika tukabeba mgonjwa mpk makabulini na mganga nakumbuka ilikuwa saa 8 usiku tumefika pale mganga akaanza mambo yake mara akachukua filimbi akapiga mara 3 tukaanza kuona mauza mauza mganga akatwambia mnapaswa msiogope hiyo dawa niliyowapaka ni ya kuona wachawi ambao wamefanya hili jambo ila iwe siri yenu na watakachotaka muwatimizie ili tusijenge vita mimi na wao kweli bana akaanza kutokea paka anageuka kuwa mtu mara ndege anakuja pale anageuka na kuwa mtu yani siku hiyo niliona kila aina ya vitwimbwi ghafla wakawa watu kama 10 hivi na kila mmoja amekuja kwa style yake wakatuuliza tumewaitia nini mganga akawaeleza shida yetu watuonyeshe dawa ya kumtibu fulani tyliye naye pale dah ila wachawi wana maneno ya kejeli yani tulitumia kama lisaa mpk kuelewana na kiasi walichokitka tukawapa nusu siku hiyo wakamuonyesha mganga dawa ya hilo tatizo ndio kupona kwa ndugu yetu ila nilipomuuliza yule mganga kwanini imetubidi tuwaite wale wachawi alisema mchawi hata uwe mganga wa aina au mtu wa aina gani wakikuamulia wakumalize hawashindwi bila kujali una imani au huna.Nyingine ni ktk utafutaji ridhiki hapo ndio nilikuja kuona duniani kuna viumbe tunaishi navyo bila sisi kujua
Hiyo nayo kuna mshikaj aliniambia dah kumbe kweli mi sikumamini,aliniambia mkewe huwa anaona usiku wanga kwaiyo walienda kwa mganga ili wawakate wawazalilishe,mganga akawaambia hao wana jeshi lao wakikuamulia hakuna mganga anayeweza kushindana nao mradi hawawadhuru basi waache tu tusiwachokoze,mi siwezi vita nwa wachawi na hakuna mganga anayeweza nimeamua kuwaambia ukweli tu sitaki hela zenu.
 
Ndivyo inavyokuwa mara nyingi ipo hivyo mana yule mzee aliniasimulia mambo mengi mwisho alichoniambia ni kuwa madhari mgonjwa amepona ibaki kuwa siri yenu tu japo tulimuona na ndugu kabisa wa pale home
 
Yani hawa kuwashinda kwao sio kwenda kwa mganga ukimjua ni kushika panga nakwenda kukatakata,vp huyo ndugu yenu baada ya kumuona alikuwaje?
 
Back
Top Bottom