[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Fugeni paka, mbwa hapambani na mauzauza anapambana na wizi tu, kikubwa anabweka tu na kusepa. Ila paka bob, haondoki mpaka kieleweke, ama afe yeye au afe mchawi/shetani. Paka ni mlinzi mzuri kwenye haya maswala, hatuwaelewi tu mana wanajiskia sana wanyama hawa.
Watalaamu wanakwambia ukiona paka amekujua mguuni na kukuzonga sana haondoki ujue anakulinda na ubaya wa mauzauza, ila sisi tunaona anatusumbua tunampiga teke 😀
Paka ni kiumbe dhajfu sana, hata mchawi hawezi kumwona ndiyo atapambana naye vipi. Kama ulikuwa hujui wachawi hawawezi mtumja kiumbe ambaye anawaona wakifanya yao, ndiyo maana husikii wakimtumia mbwa, nguruwe au punda. Ila paka anatumiwa sanaFugeni paka, mbwa hapambani na mauzauza anapambana na wizi tu, kikubwa anabweka tu na kusepa. Ila paka bob, haondoki mpaka kieleweke, ama afe yeye au afe mchawi/shetani. Paka ni mlinzi mzuri kwenye haya maswala, hatuwaelewi tu mana wanajiskia sana wanyama hawa.
Watalaamu wanakwambia ukiona paka amekujua mguuni na kukuzonga sana haondoki ujue anakulinda na ubaya wa mauzauza, ila sisi tunaona anatusumbua tunampiga teke 😀
Mzee baba sifikiri kama kuna mnyama hana jicho la kuona mambo ya giza.Paka ni kiumbe dhajfu sana, hata mchawi hawezi kumwona ndiyo atapambana naye vipi. Kama ulikuwa hujui wachawi hawawezi mtumja kiumbe ambaye anawaona wakifanya yao, ndiyo maana husikii wakimtumia mbwa, nguruwe au punda. Ila paka anatumiwa sana
Paka ndiyo dhaifu sana kuona mambo ya giza, wewe labda unasikia akipigana na paka wenzie usiku akitoa mlio kama watoto ndiyo unadhani wanapigana na wachawi.. Mchawi hawezi kumtumia mnyama anayemwona akifanya mambo yake, ndiyo maana hamtumii Mbwa, Nguruwe au Punda hata siku moja. Hao wanamwona bila chenga akija kuwanga, hawezi wagusa kumtumia.Mzee baba sifikiri kama kuna mnyama hana jicho la kuona mambo ya giza.
Ngoja tumwite mtaalamu atwambie kama paka kweli ni dhaifu kama usemavyo, nijuavyo mie paka ndio mnyama bora wa kumfuga na ni mlinzi mzuri kwenye mambo ya giza. Hao uliwataja wote ni kupiga kelele tu kama jogoo. Hawana kupambana kumoja.
Mshana Jr
msome huyu mtaalamu apaPaka ndiyo dhaifu sana kuona mambo ya giza, wewe labda unasikia akipigana na paka wenzie usiku akitoa mlio kama watoto ndiyo unadhani wanapigana na wachawi.. Mchawi hawezi kumtumia mnyama anayemwona akifanya mambo yake, ndiyo maana hamtumii Mbwa, Nguruwe au Punda hata siku moja. Hao wanamwona bila chenga akija kuwanga, hawezi wagusa kumtumia.
Mbwa ndiyo mlinzi mzuri ila hawezi kuingia ndani ya nyumba, ndiyo maana wachawi muda mwingine wanaua mbwa wakiona anawawekea zengwe
Du!Kuna zile bar unakuta zinajaza watu zina wahudumu warembo kweli wengine huwa ni majini hasa zile bar ambazo wamiliki wake wanamikataba ya kishetani kwa ajili ya mali
😀😀😀 Mjinga sana weweNilikua nipo kwenye mood ya kumasturbate yaani nilikua natafuta uzi wa mwisho kabla sijaingia xvideos sasa nimefika hapa na xvideos siendi leteni visa niburudike.
Je kuna mteja yeyote ambaye aliwahi ku experience hiyo situation hapo hotelini?*****Kuna siku moja hapo hotelini, kuna mfanyakazi mmoja alienda choo cha kufanya haja kubwa usiku, kufungua mlango akamkuta paka amejifia katikati ya sink ya choo, na alikuwa paka ameshiba kweli, yaani hakuwa na madonda labda ukasema alipigwa akaja akafia pale. Ebana, wee, staff wote waligoma kwenda kumtoa. Apo hoteli walinzi wetu walikuwa ni JKU, ni jeshi la Zanzibar, akatoka mmoja akaenda kumtoa na kwenda kumzika nje ya hotel. Kila staff akawa ameingiwa na woga, mana wanaona sasa yale mambo ya Zamani ya kukoseshana amani yamerudi tena kwa kasi. Hakuna aliekuwa anaenda chooni ikifika Saa nne usiku.
Sasa mimi kama nlivosema awali, naamini haya mambo yapo, lakini kabla ya ku conclude na assume ni kitu kingine cha kawaida tu.
Siku moja kama kawaida yangu baada ya kumaliza Youtube, navuta taulo naenda zangu choo cha haja kubwa halafu ndio niingie shower. Mara nakaribia chooni, nasikia kama vile mtu anajimwagia maji, lakini hio haikuwa chooni sasa, kuna sehemu karibia na kona ya fensi kuna generator, hapo ndipo nikawa naskia sauti inatokea hapo. Kiroho kikaanza kunidunda, sijui nirudi tu chumbani nikaushie ama vipi. Lakini nkasema hapana, ngoja nipate ushahidi kamili, nikasogea sogea ata kufika lile eneo bana, kuna bidada alikuwa anajimwagia maji kumbe staff wa hotel 😀 😀 😀 Alishtuka kuniona, nikarudi nyuma kwenye position ambayo simuoni kumpa stara uku nikamuelewesha aache kuoga chini ya generator atasababisha matatizo. Nikamuuliza, choo kipo, tena kina maji ya moto na baridi, unaoga kwa raha, kilichokufanya uoge maji ya baridi usiku huu pembezoni mwa generator nini? Akanijibu hakuna anaekwenda chooni baada ya saa nne tangu tukio la yule paka! nikamwambia aache upumbavu tu. Mi nikaingia zangu chooni nikiwa nimejikaza kisabuni tu. Mana nlikuwa na wasiwasi ivo ivo. lakini nlimaliza yangu fresh.
Kutoka sasa naskia tena kuna pirika pirika, katika hilo eneo kuna kontena ya mambo ya maintainance, kama kawaida nkasema ngoja nikatafute ushahidi kamili, akatokea fundi kwa nyuma uku akiwa amemaliza kukojoa, Nilimchana kidume kizima na yeye anasita kuingia chooni kufanya haja zake.
*****Hii hapa nilijiroga tu mwenyewe..... Usiku wa manane nilitoka room kwangu nikaenda jikoni kujipikia mana njaa ilinibana sana. Mzee baba nikasikia vishindo ndani ya jiko na mimi nimo humo humo ndani, izo mbio nilizotoka apo breki ya kwanza nilikwenda kumuamsha Chef mkuu, nkamwambia bana jikoni kuna mauzauza yamenitokea wakati najitaarisha kupika, hapo moyo unakwenda mbio kiama. Halafu chumba changu kilikuwa kinaface moja kwa moja na main entrance ya jiko. Chef mkuu akatoka akasema hebu twende, tukaingia jikoni, tunaanza kuangaza, kumbe bana mle ndani kulikuwa na paka tu alitoka mbio. Dah! roho apo ikatulia afadhali.
Aisee hio hotel hata kama hakuna mauzauza mazingira yake pekee yanatisha, ni sehemu ambayo ipo kimya sana. Na nilikuwa najitahidi kuwa jasiri, mana kuna baadhi ya siku ilinilazimu mida ya saa nane usiku nitoke niende nikamuamshe mgeni kwa ajili ya departure, vyumba vipo mbali sana na staff house, dah apo ilikuwa ni kuomba usiyakute njiani.
Kwenye hotel yetu, ilikuwa ni Staffs tu ndio wanatokewa na mambo. Ila kuna hotel nyengine ipo kusini, hio nimemsikia Tour operator mwenyewe ambaye ni mzungu, wakati tunafanya site inspection kwenye hotel ilioko chini ya kampuni nayofanyia kazi ilikuwa jirani na hio hotel nyengine, alinambia kuwa, wageni wake wengi walikuwa wanampelekea complain kuwa hotel ilikuwa na mauzauza.Je kuna mteja yeyote ambaye aliwahi ku experience hiyo situation hapo hotelini?
Kwenye hotel yetu, ilikuwa ni Staffs tu ndio wanatokewa na mambo. Ila kuna hotel nyengine ipo kusini, hio nimemsikia Tour operator mwenyewe ambaye ni mzungu, wakati tunafanya site inspection kwenye hotel ilioko chini ya kampuni nayofanyia kazi ilikuwa jirani na hio hotel nyengine, alinambia kuwa, wageni wake wengi walikuwa wanampelekea complain kuwa hotel ilikuwa na mauzauza.
Huko nlipokuwepo mwanzo kuna mzungu alikuwa na kihotel chake kidogo, alikuwa anaweka disco usiku afu kelele, wanakijiji wakamfuata na kumwambia aache, akawanyia mbovu. Bibi wa watu haikufika wiki alipatwa na upofu, alilia arudishwe kwao na mwenyeji wake, kufika kwao mwenyeji wake anasema bibi alianza kuona fresh. Hatamani kurudi 😀
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuishi visiwani kuna utamu wakeKwenye hotel yetu, ilikuwa ni Staffs tu ndio wanatokewa na mambo. Ila kuna hotel nyengine ipo kusini, hio nimemsikia Tour operator mwenyewe ambaye ni mzungu, wakati tunafanya site inspection kwenye hotel ilioko chini ya kampuni nayofanyia kazi ilikuwa jirani na hio hotel nyengine, alinambia kuwa, wageni wake wengi walikuwa wanampelekea complain kuwa hotel ilikuwa na mauzauza.
Huko nlipokuwepo mwanzo kuna mzungu alikuwa na kihotel chake kidogo, alikuwa anaweka disco usiku afu kelele, wanakijiji wakamfuata na kumwambia aache, akawanyia mbovu. Bibi wa watu haikufika wiki alipatwa na upofu, alilia arudishwe kwao na mwenyeji wake, kufika kwao mwenyeji wake anasema bibi alianza kuona fresh. Hatamani kurudi 😀
Labda Kuna mdudu alikua anamtoa bikra mdudu mwenzio, ndio maana dam zilidondoka chini[emoji83]
Kama ni URAMBO,basi shule ya msingi Mwenge[emoji3][emoji3][emoji3]Dah imenikumbusha miaka ya 90s nikiwa Tabora wilaya moja hivi kijijini nikichukua elimu ya msingi shule yetu ilikuwa upande wa magharibi kuna makaburi halafu shule ina miti kibao ya mikaratusi,mikorosho mijohoro mizambarawe na miti fulani hivi inatoa ubani upepo ukipiga inavuma kama gari,
Dah nakumbuka hiyo siku niliamka kwenye kigheto changu pale home kama saa nane hivi mabalamwezi imekubali nje maana ilikuwa wiki ya mwalimu mmoja hivi kusimamia usafi na wechelewaji na ukichelewa unapata bakora za miguuni na lile baridi la kijijini balaa mwanaume mbalamwezi ile nikajua kumekucha nikanawa faster faster hata sikuwastua wazazi ambapo sio kawaida huwa lazima niwaamshe kwenye gheto lao mzee nikanyanyua ufagio mkononi na kidumu cha maji mbio kwenda kabla ya kufika shule kuna kipori fulani lazima ukipite ndio ufike shule mwanaume sikujari japo njiani sikuona mtu yeyote hiyo haikunistua mie nilijona mshindi leo nawahi namba shule,
aisee nimepita chini ya mikorosho na hiyo miti mingine bila kujari nahisi akili haikuwa yangu nakumbuka nafika shule nikakimbilia darasani nafika mlangoni nilichokishuhudia acha niliona moto mkubwa unawaka mule na kuna watu wamekaa kama wako kwenye kikao halafu wote wakaniangalia ila sura sikuziona hapo ndio akili ikarudi kwamba nimezingua niligeuka mbio kurudi home halafu ule upande wa makaburi nilishuhudia watu wakiwa na mguu mmoja wanaruka ruka kwa mstari mbio zangu nilikuwa nahisi kuna kitu nyuma kinanifata kugeuka nyuma niliona mtu mrefu sana kichwa hakionekani ila kavaa vazi refu linag'aa kama mbaramwezi ilivyokuwa inag'aa mwanaume niliongeza speed nilienda nikaingia na mlango mpk ndani yule jini sijui nini nilipokaribia nyumbani nilisikia msonyoo mmoja hatari sana wazazi wakaamka kufungua mlango kuja kunikuta sijitambui wakanichukua nikaenda kulala kwao asubuhi ndio kuwaelezea ni moja ya tukio ambalo huwa sipendi kabisa kulikumbuka maana baada ya hapo mpk leo kuna vitu huwa naviona ambavyo sio vya kawaida na niliwasumbua sana wazazi baada ya hapo . nimejaribu kufupisha ila kuna mambo mengi sana kwa ule usiku na miaka ile niliyashuhudia baada ya ilo tukio.
Sio urambo ni Tabora vijijini sasa hivi hii wilaya inaitwa uyuiKama ni URAMBO,basi shule ya msingi Mwenge[emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa!.Sio urambo ni Tabora vijijini sasa hivi hii wilaya inaitwa uyui