Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

hua naota napigana Sana na watu nsiowafahamu na sio mara moja ,mbili ....nimekua mpaka sasa hivi kidogo Nina kama mwaka sijaota ..

hujirudia kama miez kadhaa ikipita.

huwa hawanipigi ila huwa nawapiga lakini huwa nawakubali kushindwa ....na hua sikubali kuwaacha ...huwapiga kweli lakini bado wapo ......

mara nyingi ndoto huishia hapo bila muendelezo kwamba nini kilifuata .......

nikikaa muda sana huwa nakuja kuota tena....watu huwa Sura zao nashindwa kuzikalili....

sijawah kusikia nywele cjui kusimama nikipita mahali au mwili cjui kukosa nguvu, moyo kwenda mbio , kuhisi nakimbizwa labda nikipita mahala Fulani .......
 
Huwa naota sana hii

Hata vita ikiwa ya kundi kwa kundi basi kundi langu mimi huwa tegemeo
 
Me nakumbuka wakati nikiwa darasa la5 mtaani kwetu kulikuwa.kuna mti wana ukata unasema niacheni msinikate.unapiga kelele ulikuja kukatwa mpaka walivyoita waganga.sitasaau Siku ile ndo niliamini uchawi upo.
 
Ulitatuaje ilo tatizo
 
[/QUOTE]

Mkuu una hadithi moto moto, lakini huweki koma wala nukta mpaka naona ni uongo. Ama sio uongo, lakini sio ukweli.
 

Mkuu una hadithi moto moto, lakini huweki koma wala nukta mpaka naona ni uongo. Ama sio uongo, lakini sio ukweli.
[/QUOTE]
Inaonekana umemaliza while juzi bahati mbaya sio kila mtu anayeandika anaweza kufata alama za uandishi kikubwa wewe elewa kilichoandikwa! Na haulazimishwi kuamini unaweza kuamini vyovyote unavyojisikia
 
[/QUOTE]
hayo mawenge tu ,halafu hiyo kusema eti jirani ndio alikua anahusika ndio mnasingizia watu wanauawa hasa maeneo ya shinyanga mnaua mabibi wa watu bila hatia,hapo ilibidi tu upimwe akili na malaria
 
ukipiga ka whysk au wine kidogo kabla ya kulala ,hayo mawenge ya akili huwezi kuyapata
 
huyo kijana na hao waganga wote lao moja ni kama wale wakenya wanaojifanya kunasiana mara kaiba mzigo kaubeba hawezi kuutua,au yule mchawi aliyeanguka kwenye nyumba ya mchungaji ,wakizulumiwa mgao wanatoa siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…