Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Toa jina la bar kaka tukarogwe tu na majini huko aisee [emoji3]
 

Kwanin ukubali kushuhudia mtu anauawa
Na huyo jamaa yupo mpaka leo?ulitakiwa utoe taarifa police
Maana yake hapo mliua wote
 

Hata mi hii hunitokea Yaan ile unalazimishwa kulala unalala usingizi mzito half unasikia mtu anakuja kabisa ukitaka geuka huwezi Unabaki unaongea kimoyo moyo Na kusali
Hii kitu sijawahi elewa Na hicho kitu kikikuachia unaamka hapo hapo Na jasho juu

Cc @mshanajr nin hiki
 

Umenichekesha braza ako alitaka unyongwe kwanza wewe
 

Nishwahi kukutana nã huyu kabhebba usiku mrefu sana aisee nilikuwa shule umeme hakuna so nikawa nimetoka upande wa bweni langu kwenda bweni jingine wakati naenda nilikuwa nasikia kabisa watu wa bweni naloenda wanapiga stori na kucheka, giza nene sina tochi wala nini.

Natembea kibarazani naita agy agy ,kibaraza ni kirefu nikawa naona mtu anakuja nikawa nahisi ni agy au suzy nikawa naita tu siitikiwa ila nikawa nashangaa mbona kila tukikaribiana anazidi kurefuka halaf alikuwa amevaa nguo nyeusi zinapepea aiseee nyie ikabidi nisimame yule mtu anazidi kuja anazidi kuwa mrefu halaf kucha zake anakwaruza zile bomba zilizosimama kibarazani zinalia sauti ya mkwaruzo ,pia tulisogeleana kabisa nikageuza mbio huku napiga kelele kama kichaa,nyie nilikuwa nakimbia naona nipo pale pale sivuki hatua,Na sikugeuza shingo kabisa,nilivyofika room nikasimulia wenzangu hatukulala nyie,
Ile shule ilikuwa Na visa halaf umeme wa jenereta mwisho Sáa nne,shule una miti basi giza hadi chini huoni jamani
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha dah mmenikumbusha mbali kipind hiko tumehama maeneo ya mjini tumehamia mbali n mji kidogo mzee alijenga huko hiyo sehm palikuw hakun nyumba nying n kuna nyumba za udongo pia na wazawa wa hapo.

Kimbembe kukaribishwa hiyo sehm kila siku ikifika usiku hali aielewek mambo tofaut yanatokea bila kitegemea unawez kumuon bibi room kwko hujui kaingia vp kam kivuli ukiwash taa humuoni tena alikuw anatoka mpk chandarua anawek pembeni [emoji23][emoji23]

Hii siku sitokuja kusahau siku nimelala room alone nimeshtuka usngzn nahisi kabs mtu ananipapas matak* niligeuka n ngumi naon hakun mtu nilidata kwa nzia siku hiyo nalala naangalia mabati. [emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ungetulia kwanza uone je atafanyaje labda alikua na nia nzuri yakukupaka mafuta sababu yamepauka
 
Duh
Inasikitisha sana
 

huu mtuhani kaka,sasa hata mama na baba sijui unaenda kuwaambiaje[emoji28][emoji28][emoji28]

nimeshikwa matako baba[emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu umesema ukiwa na mganga wako baharini aliibuka jini mwanamke mwenye urefu usioelezeka, ukakimbia wasaidizi wa mganga wakakudata. Unaweza niambia ulikimbiaje baharini? Ulikimbia kwa miguu ama mtumbwi ama boti?
Mkuu umuulizaye Mungu alishampenda zaidi ametangulia mbele za haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…