Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

nimewahi ila nakumbana nachangamoto moja tukatika mahusiano yangu eidha hua sikai sana namwanamke ama kama nitajaribu nanikafanikiwa kusex nae basi ndio maisha yetu yamahusiano hua yanaasilimia kubwa sana yakufikia ukingoni

Nb:-katika mahusiano yangu yote nilio wahi kukaa nayo huyo msichana tajwa hapo juu ndie alikua msichana niliekaa nae sana katika mahusiano na haukufika ama kuzidi mwaka mmoja wanyuma nilikaa nao kiasi ila sikudumu nao

Ila baada ya yeye hakuna mwanamke ama msichana nlietimiza nae miezi walau mitatu kama ikibidi sana mmoja ama mmoja nanusu mpaka miwili.....

Sent using My COVID-19
Aiseee...

The same to me...

Commet yako imenipunguzia majuto, uwa nadhani nipo peke yangu ninaepita katika njia hii ya kutodumu katika mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hafu mavikosi na haya mambo hata sijui inakuwaje. Nmewahi kaa vikosi vitano tofauti...hizi mambo zipo tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yake baba angu ambaye kwa Sasa Ni mwanajeshi mstaafu....
Walikua gadi mlangon kambini Usiku Askari mwenzao akaja kuwa taarifu Kuna jamaa wanne wanakuja kwa Kasi kuelekea lango la kambi....
Wakatoka kwenda kuwasimamisha kutoa Amri watu wanakuja....
Wakazikoki bunduki Kupiga risasi hazitoki.......

Jamaa walipo karibia geti wakapotea tukio hujirudia rudia kambini hapo
 
View attachment 1457550
Jamaa walipo karibia geti wakapotea tukio hujirudia rudia kambini hapo

Duh

Alexander
 
🙄🙄 ikawaje sasa baada ya risasi kugoma kutoka?
 
Mimi nmwezi jana nilikutana na jikovidi fulan kauzu refu kama kamasi, nilivyo mfupi size ya tairi ya kirikuu ebwana niliipiga kata funua kama drogba.

Ile limeruka tu, nasikia takwimu, oyaaaaaaaaaa, mechi bila bila. Nikala waya fasta

Sent using Kirikuu
 
Naunga mkono kwa kiasi chake
mama angu bibi yake mzaa mama alikua mwanga mno Aliwatafuna watoto wa kwanza wa wajukuu zake wote wa kike na baadhi ya mama zangi wadogo hawajazaa mpaka leo.
Mama aliniambiaga kuwa chochote unachotaka kufanyiwa kishirikina lazima mchawi wa ukoo wenu akithibitishe. Kama hakithibitishi hufanyiwi kitu ( ni kama hukumu ya kunyongwa mpaka rais atie sahihi) akanipa mfano; Mkiwa ndani asubuhi mkiamka lazima nyumba muifungue wenyewe mtoke nje, mtu wa nje hawezi kufungua kuingia ndani. Kwahiyo hapo kwenye ukoo hapo nakubaliana huwenda ndio maana hatuoni mauza uza ila pia anakiukizaga mikoba ya bibi huyo kairithi nani [emoji3]
Kama ukoo hauna mchawi?

Twende Taratibu...Kuelewa Ni Mchakato
 
Rafiki yake baba angu ambaye kwa Sasa Ni mwanajeshi mstaafu....
Walikua gadi mlangon kambini Usiku Askari mwenzao akaja kuwa taarifu Kuna jamaa wanne wanakuja kwa Kasi kuelekea lango la kambi....
Wakatoka kwenda kuwasimamisha kutoa Amri watu wanakuja....
Wakazikoki bunduki Kupiga risasi hazitoki.......
View attachment 1457550
Jamaa walipo karibia geti wakapotea tukio hujirudia rudia kambini hapo
Yaan anasema wale jamaa wanakuja kwa Kasi kuelekea lango Lakini hawafiki nyinyi mnakua mnawaona Askari wa zamu Wana toa Amri kwa sauti jamaa wanakuja tu
Wanazikoki bunduki Kupiga Risasi hazitoki
Mpka Askari Wana amua kukimbia Ila wakirudi hawakuti kitu...
 
🙄🙄 ikawaje sasa baada ya risasi kugoma kutoka?
Yaan anasema wale jamaa wanne wanakuja kwa Kasi kuelekea lango la kambi Lakini hawafiki.....nyinyi mnakua mnawaona.......anasema Askari wa zamu wanashituana na kutoa Amri kwa sauti jamaa wanakuja tu....

Wanazikoki bunduki Kupiga Risasi hazitoki
Inabidi Askari Wakimbie wanahisi labda bunduki ndio tatizo wanaenda chukua bunduki zingine Hali inajirudia ile ile.....Wana kimbia kwenda kuita wanajesh wengine akirudi hawakuti kitu...
 
Back
Top Bottom