nelvine
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,112
- 1,871
Simuliadaah mi mkasa wangu naogopa hata kuusimulia, nahisi nitakutwa na mabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simuliadaah mi mkasa wangu naogopa hata kuusimulia, nahisi nitakutwa na mabaya
ushalishwa maduseMi sijawahi shuhudia mauzauza yoyote ila hadi leo nashangaa kuna siku nimeota mama flani hapa mtaani (namjua) alikuwa ananilazimisha kula nyanya,nyanya zilikuwa nyingi sana ananisokomezea mdomoni mimi nameza tu....ajabu nilipokuja kushtuka nikajikuta nimeshiba halafu tumbo limejaa kishenzi yaani
yule ambaye mwandan wake ndo mumtafute anayoNaunga mkono kwa kiasi chake
mama angu bibi yake mzaa mama alikua mwanga mno Aliwatafuna watoto wa kwanza wa wajukuu zake wote wa kike na baadhi ya mama zangi wadogo hawajazaa mpaka leo.
Mama aliniambiaga kuwa chochote unachotaka kufanyiwa kishirikina lazima mchawi wa ukoo wenu akithibitishe. Kama hakithibitishi hufanyiwi kitu ( ni kama hukumu ya kunyongwa mpaka rais atie sahihi) akanipa mfano; Mkiwa ndani asubuhi mkiamka lazima nyumba muifungue wenyewe mtoke nje, mtu wa nje hawezi kufungua kuingia ndani. Kwahiyo hapo kwenye ukoo hapo nakubaliana huwenda ndio maana hatuoni mauza uza ila pia anakiukizaga mikoba ya bibi huyo kairithi nani [emoji3]
Tafuta mganga mdau ushalishwa mauzauzaMi sijawahi shuhudia mauzauza yoyote ila hadi leo nashangaa kuna siku nimeota mama flani hapa mtaani (namjua) alikuwa ananilazimisha kula nyanya,nyanya zilikuwa nyingi sana ananisokomezea mdomoni mimi nameza tu....ajabu nilipokuja kushtuka nikajikuta nimeshiba halafu tumbo limejaa kishenzi yaani
Dah imenikumbusha miaka ya 90s nikiwa Tabora wilaya moja hivi kijijini nikichukua elimu ya msingi shule yetu ilikuwa upande wa magharibi kuna makaburi halafu shule ina miti kibao ya mikaratusi,mikorosho mijohoro mizambarawe na miti fulani hivi inatoa ubani upepo ukipiga inavuma kama gari,
Dah nakumbuka hiyo siku niliamka kwenye kigheto changu pale home kama saa nane hivi mabalamwezi imekubali nje maana ilikuwa wiki ya mwalimu mmoja hivi kusimamia usafi na wechelewaji na ukichelewa unapata bakora za miguuni na lile baridi la kijijini balaa mwanaume mbalamwezi ile nikajua kumekucha nikanawa faster faster hata sikuwastua wazazi ambapo sio kawaida huwa lazima niwaamshe kwenye gheto lao mzee nikanyanyua ufagio mkononi na kidumu cha maji mbio kwenda kabla ya kufika shule kuna kipori fulani lazima ukipite ndio ufike shule mwanaume sikujari japo njiani sikuona mtu yeyote hiyo haikunistua mie nilijona mshindi leo nawahi namba shule,
aisee nimepita chini ya mikorosho na hiyo miti mingine bila kujari nahisi akili haikuwa yangu nakumbuka nafika shule nikakimbilia darasani nafika mlangoni nilichokishuhudia acha niliona moto mkubwa unawaka mule na kuna watu wamekaa kama wako kwenye kikao halafu wote wakaniangalia ila sura sikuziona hapo ndio akili ikarudi kwamba nimezingua niligeuka mbio kurudi home halafu ule upande wa makaburi nilishuhudia watu wakiwa na mguu mmoja wanaruka ruka kwa mstari mbio zangu nilikuwa nahisi kuna kitu nyuma kinanifata kugeuka nyuma niliona mtu mrefu sana kichwa hakionekani ila kavaa vazi refu linag'aa kama mbaramwezi ilivyokuwa inag'aa mwanaume niliongeza speed nilienda nikaingia na mlango mpk ndani yule jini sijui nini nilipokaribia nyumbani nilisikia msonyoo mmoja hatari sana wazazi wakaamka kufungua mlango kuja kunikuta sijitambui wakanichukua nikaenda kulala kwao asubuhi ndio kuwaelezea ni moja ya tukio ambalo huwa sipendi kabisa kulikumbuka maana baada ya hapo mpk leo kuna vitu huwa naviona ambavyo sio vya kawaida na niliwasumbua sana wazazi baada ya hapo . nimejaribu kufupisha ila kuna mambo mengi sana kwa ule usiku na miaka ile niliyashuhudia baada ya ilo tukio.
Usitafute mganga, tafuta kanisa la watu ambao wameokoka ukaombewe!Tafuta mganga mdau ushalishwa mauzauza
Sana,mi ningeenda kumripoti police huyo muuajiMkuu nyamatongo hiki kisa kinasisimua sana.
Labda niulize tu, baada ya hilo tukio uhusiano wako na huyo jamaa ulikuaje?
Pili, huyu jamaa yako alikua mwanausalama in any way? Kama sio..kama hutojali unaweza sema alikua akijishughulisha na nini?
Pia, huyo mzee mliyemuamsha usiku; baada ya hapo uliwahi kuonana nae tena? If so, mliongea nini?
Mwisho, unadhani wazazi wa huyu jamaa yako walijua hilo tukio in any way?
Nisamehe kwa maswali mengi....ila hili tukio linafikirisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Strange sana hiki kisaSana,mi ningeenda kumripoti police huyo muuaji
Kuishi kwenye nchi inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi.Mambo ya.kuogopesha na kutisha ni kama yapi!!?
Kisa kama hiki kiliwahi tokea Dodoma maeneo ya Area ANakumbuka Miaka ya tisini mwishoni mkoani Dodoma, kuna kituko kiliwahi tokea na mimi nilikua shuhuda kulikua na mzee mmoja alimuacha mkewe akaamua kuishi na mke mwingine, yule mke aliyechwa hakufurahi ile hali akaamua kwenda kwa sangoma aisee!
Ile nyumba ilikua haikaliki maana mmewe na huyo mke mpya kila siku walikua wanachezea viboko, pia mawe yalikua yanarushwa juu ya bati mfululizio na hayakujulikana yanatoka wapi, ila yakidondoka chini yanageuka kuwa kinyesi cha binadamu, vyombo kabatini vilikua vinatikisika mwanzo mwisho na aliyekua akivitingisha hajulikani.
Baada ya mauzauza kuwa mengi waliita mashekhe wapige duwa ila wapi haikusaidia, ikabidi waikimbie ile nyumba, ile nyumba ilikaa kama miaka zaidi ya 12 bila mtu kuishi, hadi yule mzee mwenye nyumba alipofariki mwaka 2014 ikabidi watoto wake waiuze, mtu aliyeinunua aliibomoa yote (kwavile ilikua imechakaa) akajenga nyumba mpya, kuna nduguyng yeye bado yupo Dom aliniambia tangu imeuzwa hakuna mauzauza yaliyotoke.
simulia banadaah mi mkasa wangu naogopa hata kuusimulia, nahisi nitakutwa na mabaya
Ulitaka kujionyesha kua wewe ni mtoto wa mjini, wenzio ni washamba
daah mi mkasa wangu naogopa hata kuusimulia, nahisi nitakutwa na mabaya
Tangu mwaka jana alishatangulia mbele ya hakimbona sielewi mwenye uzi status yake RIP na marehemu au?
Eti nimezingua....Dah imenikumbusha miaka ya 90s nikiwa Tabora wilaya moja hivi kijijini nikichukua elimu ya msingi shule yetu ilikuwa upande wa magharibi kuna makaburi halafu shule ina miti kibao ya mikaratusi,mikorosho mijohoro mizambarawe na miti fulani hivi inatoa ubani upepo ukipiga inavuma kama gari,
Dah nakumbuka hiyo siku niliamka kwenye kigheto changu pale home kama saa nane hivi mabalamwezi imekubali nje maana ilikuwa wiki ya mwalimu mmoja hivi kusimamia usafi na wechelewaji na ukichelewa unapata bakora za miguuni na lile baridi la kijijini balaa mwanaume mbalamwezi ile nikajua kumekucha nikanawa faster faster hata sikuwastua wazazi ambapo sio kawaida huwa lazima niwaamshe kwenye gheto lao mzee nikanyanyua ufagio mkononi na kidumu cha maji mbio kwenda kabla ya kufika shule kuna kipori fulani lazima ukipite ndio ufike shule mwanaume sikujari japo njiani sikuona mtu yeyote hiyo haikunistua mie nilijona mshindi leo nawahi namba shule,
aisee nimepita chini ya mikorosho na hiyo miti mingine bila kujari nahisi akili haikuwa yangu nakumbuka nafika shule nikakimbilia darasani nafika mlangoni nilichokishuhudia acha niliona moto mkubwa unawaka mule na kuna watu wamekaa kama wako kwenye kikao halafu wote wakaniangalia ila sura sikuziona hapo ndio akili ikarudi kwamba nimezingua niligeuka mbio kurudi home halafu ule upande wa makaburi nilishuhudia watu wakiwa na mguu mmoja wanaruka ruka kwa mstari mbio zangu nilikuwa nahisi kuna kitu nyuma kinanifata kugeuka nyuma niliona mtu mrefu sana kichwa hakionekani ila kavaa vazi refu linag'aa kama mbaramwezi ilivyokuwa inag'aa mwanaume niliongeza speed nilienda nikaingia na mlango mpk ndani yule jini sijui nini nilipokaribia nyumbani nilisikia msonyoo mmoja hatari sana wazazi wakaamka kufungua mlango kuja kunikuta sijitambui wakanichukua nikaenda kulala kwao asubuhi ndio kuwaelezea ni moja ya tukio ambalo huwa sipendi kabisa kulikumbuka maana baada ya hapo mpk leo kuna vitu huwa naviona ambavyo sio vya kawaida na niliwasumbua sana wazazi baada ya hapo . nimejaribu kufupisha ila kuna mambo mengi sana kwa ule usiku na miaka ile niliyashuhudia baada ya ilo tukio.
Pole sana aisee