[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] uendelezwe tu mkuuMods wamegoma kufuta uzi. Sijui tuuendeleze
[emoji116][emoji116]
Mimi nitaanza na huyu mtoto
Lyn Vivac
Ulijing'ata ukainama
First time tunakutana /
Vitisho, mikwara ya mama
ulisonga hukujali ya jana /
Ukanambia unaitwa L.V
Ukawa mod ndani ya moyo /
Tukapima mpka HIV
Tukala tunda bila choyo /
Leo kwangu wee ni M.P
Doso lako lanikonga nyoyo /
Dear,
Umeniscopion kihisia
kiuweli sioni njia /
Mpini nakuaminia
Wee ni jembe zaidi ya deer/
Pia,
Penzi ni kifungo mfungwa nakitumikia /
Na mpango nikutrump
Jf mpaka maskani /
Nyumban yapigwe madrum
Nikuvishe Pete kiimani /
Tusifanye kiharamu
Tuitangaze hadharani /
....................................
Mapenzi ni hatuaMie wangu Anaitwa Doreen
Beautiful onyinye yees bonge la queen
Ana kale ka baby face mnyamwez sichok kumuangalia
Nsha subscribe kwenye hii thread wacha Nianze kumsifia
The good thing mtoto wala hana drama
Kichwani yupo bright ka Michelle obamaa
Nami sintompa stress kama za wema na idrisa
Lengo ni mvishe pete ya ndoa mbele ya kanisa
I like the way she walk when she on my way
Lips anavyong'ata kidume wala siongei
Hahaha...bro upo vizuri kumbeKila nikifikiri mwenzako spati jawabu/
Yale mahaba ulonipa nadhani ndo sababu
...
bila ghadhabu naomba unipe tena na tena/
Oh My God Unanifanya nashindwa kuhema
...
jje's Upendo wako kwangu unathamani/
Nikuvike kidani au vacation twende huko shambani?
...
Its true Nadata ukichuma Tembele /
kokote tutakwenda hata wakipiga kelele
...
wanga wanataka eti usinipende/
Please panda kwa kitanda nataka nimuue mende