Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Ingia T touch mkuu
 
Hapana hapahapa ndo pazuri, ili nikikukataa kila mtu ashuhudie. Usijesema nimekukubalia huko chumbani
Hahaha kwa hiyo unataka unikatea mbele ya wanadamu na Mbinguni pia nikataliwe ?

Wewe utakuwa hunitakii mema ...hata Mungu huwa anapenda siri mama mchungaji
Ndio maana akasema unapotoa sadaka na mkono wako wa kulia basi kushoto usijue
 
Hahaha kwa hiyo unataka unikatea mbele ya wanadamu na Mbinguni pia nikataliwe ?

Wewe utakuwa hunitakii mema ...hata Mungu huwa anapenda siri mama mchungaji
Ndio maana akasema unapotoa sadaka na mkono wako wa kulia basi kushoto usijue ?
Haha wewe si mjanja bana?
 
Mimi kwako nmekufa wala kufufuka sitaki sio/..
Hata usiponipa mtoto nikafurahi tuu kuwa wako ndio..
 
hawajui ulivyonimis ndo maana. waambie tena shem
Yaani acha...hadi button zinatetema.

Nilitaka nikushUshie mistari sema taito ya uzi [emoji54][emoji54]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…