Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Mie wangu Anaitwa Doreen

Beautiful onyinye yees bonge la queen

Ana kale ka baby face mnyamwez sichok kumuangalia

Nsha subscribe kwenye hii thread wacha Nianze kumsifia

The good thing mtoto wala hana drama

Kichwani yupo bright ka Michelle obamaa

Nami sintompa stress kama za wema na idrisa

Lengo ni mvishe pete ya ndoa mbele ya kanisa

I like the way she walk when she on my way

Lips anavyong'ata kidume wala siongei
Ingia T touch mkuu
 
Hapana hapahapa ndo pazuri, ili nikikukataa kila mtu ashuhudie. Usijesema nimekukubalia huko chumbani
Hahaha kwa hiyo unataka unikatea mbele ya wanadamu na Mbinguni pia nikataliwe ?

Wewe utakuwa hunitakii mema ...hata Mungu huwa anapenda siri mama mchungaji
Ndio maana akasema unapotoa sadaka na mkono wako wa kulia basi kushoto usijue
 
Hahaha kwa hiyo unataka unikatea mbele ya wanadamu na Mbinguni pia nikataliwe ?

Wewe utakuwa hunitakii mema ...hata Mungu huwa anapenda siri mama mchungaji
Ndio maana akasema unapotoa sadaka na mkono wako wa kulia basi kushoto usijue ?
Haha wewe si mjanja bana?
 
Mimi kwako nmekufa wala kufufuka sitaki sio/..
Hata usiponipa mtoto nikafurahi tuu kuwa wako ndio..
 
hawajui ulivyonimis ndo maana. waambie tena shem
Yaani acha...hadi button zinatetema.

Nilitaka nikushUshie mistari sema taito ya uzi [emoji54][emoji54]
 
Back
Top Bottom