Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfukoni ukiwa empty
Basi mdomoni uwe smart/
Na sahau kumpa heaven sent
Mfukoni kama huna hata cent /
Pia ni mke wa mtu
Au unataka kugeuzwa mfu/
usilazimishe kwa Benny bifu
Shem akichezewa huwa haangalii utu.
[emoji1][emoji1]
Sifia hata punyeto Basi usionekane mpeke sanaTusokokua na wapenzi inakuaje
Oh aisee kwa hiyo nianze hapa hapa kuimbisha au unaona aibu kama ile siku baby Sis kaona watu wanakiss akaona afanye kabisa majaribio kwa baba alipotoka kazini au tuhamie chumbani...Aaah ni sawa
Kalalee...[emoji1]Tusokokua na wapenzi inakuaje
Ingia T touch mkuuMie wangu Anaitwa Doreen
Beautiful onyinye yees bonge la queen
Ana kale ka baby face mnyamwez sichok kumuangalia
Nsha subscribe kwenye hii thread wacha Nianze kumsifia
The good thing mtoto wala hana drama
Kichwani yupo bright ka Michelle obamaa
Nami sintompa stress kama za wema na idrisa
Lengo ni mvishe pete ya ndoa mbele ya kanisa
I like the way she walk when she on my way
Lips anavyong'ata kidume wala siongei
Haha hapa hapa ndo pazuriOh aisee kwa hiyo nianze hapa hapa kuimbisha au unaona aibu kama ile siku baby Sis kaona watu wanakiss akaona afanye kabisa majaribio kwa baba alipotoka kazini au tuhamie chumbani...
Eeeeh aiseee nimeamini bwana yule kwako hana chake ,kama mkewe anakubali kuimbishwa hadharani mwambie aendelee tu kushika mapembeHaha hapa hapa ndo pazuri
Mbona mbwembwe nyingi. Ukitongoza ndo umekubaliwa? Em tiririkaaa hapaEeeeh aiseee nimeamini bwana yule kwako hana chake ,kama mkewe anakubali kuimbishwa hadharani mwambie aendelee tu kushika mapembe
Eeeh sasa mke wa mtu unakubali vipi kutongonzwa hadharani mbele ya watoto wadogo ?Mbona mbwembwe nyingi. Ukitongoza ndo umekubaliwa? Em tiririkaaa hapa
Hapana hapahapa ndo pazuri, ili nikikukataa kila mtu ashuhudie. Usijesema nimekukubalia huko chumbaniEeeh sasa mke wa mtu unakubali vipi kutongonzwa hadharani mbele ya watoto wadogo ?
Walau ungesema tuende chumbani ningekuelewa
Teh teh
Hahaha kwa hiyo unataka unikatea mbele ya wanadamu na Mbinguni pia nikataliwe ?Hapana hapahapa ndo pazuri, ili nikikukataa kila mtu ashuhudie. Usijesema nimekukubalia huko chumbani
Haha wewe si mjanja bana?Hahaha kwa hiyo unataka unikatea mbele ya wanadamu na Mbinguni pia nikataliwe ?
Wewe utakuwa hunitakii mema ...hata Mungu huwa anapenda siri mama mchungaji
Ndio maana akasema unapotoa sadaka na mkono wako wa kulia basi kushoto usijue ?
Na ujanja gani mama mchungaji nilitaka tu tuanzishe kanisa humu na ulivyo na karama ya kuomba kuabudu mpaka unalia ukichanganya na karama yangu kusifu na kuhesabu sadaka basi tutasaidia watu wengi humuHaha wewe si mjanja bana?
hawajui ulivyonimis ndo maana. waambie tena shemShem nimekumithije [emoji1][emoji1]