Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Dota hii imejipost au umemaanisha?Mfyuuuuu
Teh teh hatari sanaNipo hapa nimenyoosha mikono hadi inauma, kwakweli haya mambo mengine sio kabisa!!
ImejipostDota hii imejipost au umemaanisha?
Hata mi naonaImejipost
weweeeee usituletee hatutoi hongo Magu kakataa.Nasubiri tu zile pesa mlizoniahidi.
weweeeee usituletee hatutoi hongo Magu kakataa.
we are not doing illegal conversation so y tukulipe.
kikikikkkkkkk
Tafuta kiti kabisa maana utasubiri sanaMbona kujitetea kwingiii!!! Mie nasubiri tu.
Makuubwa [emoji22] [emoji22]Mimi nitaanza na huyu mtoto
Lyn Vivac
Ulijing'ata ukainama
First time tunakutana /
Vitisho, mikwara ya mama
ulisonga hukujali ya jana /
Ukanambia unaitwa L.V
Ukawa mod ndani ya moyo /
Tukapima mpka HIV
Tukala tunda bila choyo /
Leo kwangu wee ni M.P
Doso lako lanikonga nyoyo /
Dear,
Umeniscopion kihisia
kiuweli sioni njia /
Mpini nakuaminia
Wee ni jembe zaidi ya deer/
Pia,
Penzi ni kifungo mfungwa nakitumikia /
Na mpango nikutrump
Jf mpaka maskani /
Nyumban yapigwe madrum
Nikuvishe Pete kiimani /
Tusifanye kiharamu
Tuitangaze hadharani /
....................................
HayaTafuta kiti kabisa maana utasubiri sana
[emoji23] [emoji23] jifarijin tu ajira haziji Leo wala kesho endeleeni kumanuana ki Bruce Lee mpaka mchanike, shwainiiMtoto ana bg booty mi namwita Cherokee
Kitandani yeye ndo Shaolin mapigo ka Bruce lee
[emoji23] [emoji23] Hatare[emoji23] [emoji23] jifarijin tu ajira haziji Leo wala kesho endeleeni kumanuana ki Bruce Lee mpaka mchanike, shwainii
Nije wapi wakati umechanganyikiwa na akina Vivac wanaojing'ata wakainama! Mimi nikija nikitoa damu si utakimbia weweEbu uje chumbani tuongee mama [emoji13][emoji13]
Bro acha zakoKikulacho sio chako,
Lyn vivac sio demu wako,
Daby cheki mzigo wako,
Dem si dem anazunguka nyuma yako
Walikufuata matajiri visenti vya chengeNije wapi wakati umechanganyikiwa na akina Vivac wanaojing'ata wakainama! Mimi nikija nikitoa damu si utakimbia wewe
[emoji12] basi nakuja BabyWalikufuata matajiri visenti vya chenge
Ukakataa kuvaa gucci ukafuata Vitenge
Mi ni wako we ni wangu kwanini usiringe
Penzi lako dawa tosha siendi samunge [emoji4][emoji4]