Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

free style imeisha?

haya mtoto ana tege, jicho lege, ana kijungu kama mtungi wa kusindika mbege, anavutia, kupandishia hisia, kiuno sasa ndio utata, pale kati nta, vitu vinapwita kama bata mzoea kupata, bint kajaa uhondo, kwa mitindo amefuzu msondo....aah ngoja nikale.....
 
Mimi nitaanza na huyu mtoto
Lyn Vivac

Ulijing'ata ukainama
First time tunakutana /

Vitisho, mikwara ya mama
ulisonga hukujali ya jana /

Ukanambia unaitwa L.V
Ukawa mod ndani ya moyo /

Tukapima mpka HIV
Tukala tunda bila choyo /

Leo kwangu wee ni M.P
Doso lako lanikonga nyoyo /

Dear,
Umeniscopion kihisia
kiuweli sioni njia /

Mpini nakuaminia
Wee ni jembe zaidi ya deer/

Pia,
Penzi ni kifungo mfungwa nakitumikia /

Na mpango nikutrump
Jf mpaka maskani /

Nyumban yapigwe madrum
Nikuvishe Pete kiimani /

Tusifanye kiharamu
Tuitangaze hadharani /

....................................
Makuubwa [emoji22] [emoji22]
 
Ebu uje chumbani tuongee mama [emoji13][emoji13]
Nije wapi wakati umechanganyikiwa na akina Vivac wanaojing'ata wakainama! Mimi nikija nikitoa damu si utakimbia wewe
 
Nije wapi wakati umechanganyikiwa na akina Vivac wanaojing'ata wakainama! Mimi nikija nikitoa damu si utakimbia wewe
Walikufuata matajiri visenti vya chenge
Ukakataa kuvaa gucci ukafuata Vitenge
Mi ni wako we ni wangu kwanini usiringe
Penzi lako dawa tosha siendi samunge [emoji4][emoji4]
 
Walikufuata matajiri visenti vya chenge
Ukakataa kuvaa gucci ukafuata Vitenge
Mi ni wako we ni wangu kwanini usiringe
Penzi lako dawa tosha siendi samunge [emoji4][emoji4]
[emoji12] basi nakuja Baby
 
Back
Top Bottom