niacheni na baby wangu mwenyewe nimeipendaMwenyewe naona ameikubali kinoma,
Kumbe jamaa kashika gazeti anasoma,
Fakalava labda alikuwa anaongea bhn [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunapiga mawe sisi. ..anaimbaje mistari haina vina..sound mbovu utafikiri mc wa mdundikohashuki mtu
Fakalava huyo mpenzi wako mwambie achague moja
1. Aturudishie hela zetu
2. Aache kuimba na kuchana
2. Ashuke stejini tutampiga chupa
mwenye mistari nilietungiwa nimeipenda kwa nn mlalamikeTunapiga mawe sisi. ..anaimbaje mistari haina vina..sound mbovu utafikiri mc wa mdundiko
Kupenda kupendwa, mnapendana sana,niacheni na baby wangu mwenyewe nimeipenda
Kulalamika lazima,mwenye mistari nilietungiwa nimeipenda kwa nn mlalamike
sitaki voko zenu za fakalava zimenitoshaKupenda kupendwa, mnapendana sana,
Tatizo ameshindwa, kuendana na vina, Tutamwita vipi bingwa, kwa mistari ya kichina
Si bure umetendwa, shtuka mschana
Ujue sisi ndiyo shareholders lazima tupime Voko anazorushiwa mtoto [emoji1][emoji1]. ..@Supermaket shuka mistari uchukue jiko [emoji115]
Ok ok twende;Ujue sisi ndiyo shareholders lazima tupime Voko anazorushiwa mtoto [emoji1][emoji1]. ..@Supermaket shuka mistari uchukue jiko [emoji115]
Achana na fakalava njoo mtoto mzuri,sitaki voko zenu za fakalava zimenitosha
Ujue natamani uwe shemeji yangu wewe [emoji14][emoji14][emoji14]Ok ok twende;
Njoo mabebey
Nikubebe
Nikupeleke club tukaruke debe
Mrembo shuni
Nikupende july mpaka juni
Nikutoe kwenye maisha duni
Nikupe gari, nyumba, kampuni
sitaki voko zenu za fakalava zimenitosha
sitaki voko zenuAchana na fakalava njoo mtoto mzuri,
Nikupe mali mapesa na magari,
Unukie vizuri manukato ya uturi,
Kukuhonga ghorofa mimi sioni hatari.
Ok ok twende;
Njoo mabebey
Nikubebe
Nikupeleke club tukaruke debe
Mrembo shuni
Nikupende july mpaka juni
Nikutoe kwenye maisha duni
Nikupe gari, nyumba, kampuni
mm sitaki nampenda fakalava wanguUjue natamani uwe shemeji yangu wewe [emoji14][emoji14][emoji14]
Ok ok mwanangu daby usijali,Ujue natamani uwe shemeji yangu wewe [emoji14][emoji14][emoji14]
mm sitaki nampenda fakalava wangu
Shunie njoo kwangu upate vingi,Achana na vilaaza
Mkumbatie super braza
Ukaribie familia kubwa
Kuna mawe tutakuhandle kibabukubwa
sitakiiiiiiiiiOk ok mwanangu daby usijali,
Nibembelezee demu akubali,
Chochote atapata hata mali,
Nitampeleka afrika kusini na rwanda kigali,
Mauritious na senegali,
Ujerumani mpaka italy,
Akale misosi mizuri baga, biriani na wali
Achana na vilaaza
Mkumbatie super braza
Ukaribie familia kubwa
Kuna mawe tutakuhandle kibabukubwa
baby fakalava njo uwaone hawa machiziShunie njoo kwangu upate vingi,
Utakuwa malkia mimi nitakuwa kingi,
Utachange umbo, sura na rangi,
Fasta tu watakufananisha na jackline mengi
DuhMzigo songwe kiwira sibabaishwi na vyura.Kuwa nawe si hasara ka muwasho na harara.Mapenzi ni muvi Kali isokuwa na star,adui hajulikani catalist ni chapaa.
Aachane na vibabu akuje kwa mayankiShunie njoo kwangu upate vingi,
Utakuwa malkia mimi nitakuwa kingi,
Utachange umbo, sura na rangi,
Fasta tu watakufananisha na jackline mengi