Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

mwenye mistari nilietungiwa nimeipenda kwa nn mlalamike
Ujue sisi ndiyo shareholders lazima tupime Voko anazorushiwa mtoto [emoji1][emoji1]. ..@Supermaket shuka mistari uchukue jiko [emoji115]
 
Kupenda kupendwa, mnapendana sana,
Tatizo ameshindwa, kuendana na vina, Tutamwita vipi bingwa, kwa mistari ya kichina
Si bure umetendwa, shtuka mschana
sitaki voko zenu za fakalava zimenitosha
Ujue sisi ndiyo shareholders lazima tupime Voko anazorushiwa mtoto [emoji1][emoji1]. ..@Supermaket shuka mistari uchukue jiko [emoji115]
 
Ujue natamani uwe shemeji yangu wewe [emoji14][emoji14][emoji14]
Ok ok mwanangu daby usijali,
Nibembelezee demu akubali,
Chochote atapata hata mali,
Nitampeleka afrika kusini na rwanda kigali,
Mauritious na senegali,
Ujerumani mpaka italy,
Akale misosi mizuri baga, biriani na wali
mm sitaki nampenda fakalava wangu
 
Ok ok mwanangu daby usijali,
Nibembelezee demu akubali,
Chochote atapata hata mali,
Nitampeleka afrika kusini na rwanda kigali,
Mauritious na senegali,
Ujerumani mpaka italy,
Akale misosi mizuri baga, biriani na wali
sitakiiiiiiiii
Achana na vilaaza
Mkumbatie super braza
Ukaribie familia kubwa
Kuna mawe tutakuhandle kibabukubwa
 
Shunie njoo kwangu upate vingi,
Utakuwa malkia mimi nitakuwa kingi,
Utachange umbo, sura na rangi,
Fasta tu watakufananisha na jackline mengi
Aachane na vibabu akuje kwa mayanki
Halafu life zuri si mtaspendi?
Miezi tisa mingi umpige kibend
Halafu umwache njia panda ile ya stendi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom